Ni kwanini Jina la YESU linafukuza mapepo tofauti na Jina Allah au Yehova?

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
21,625
Reaction score
33,688
Salaam, shalom!!

Mods acheni mjadala huu upate majibu Toka Kwa wadau.

Nimeishi miaka mingi duniani Hadi sasa, na sijawahi kukutana na shehe au pastor akifukuza Roho chafu zilizowapagaa watu Kwa Jina la YEHOVA au Allah!!

Kwanini Jina YESU Lina nguvu kiasi hicho?

Karibuni🙏
 
Mitume wote (kila mmoja) alitumwa Duniani kwa kazi maalum
Yesu alitumwa duniani kipindi ambacho watu walikuwa wana amini Uchawi/Ushirikina, na kumuasi Mungu.

Mungu akaona atume mjumbe ampe nguvu ya kufanya zaidi ya wachawi ili wamwani Mungu.

Yesu akapewa uwezo mkubwa, wa kufukuza mapepo, kuponya waliorogwa na hata kuponya magonjwa ambayo yalikuwa hayana tiba, kufufua na mengine mengi ambayo wachawi hawakuyaweza. Hata kuzaliwa kwake Mungu alikufanya tofauti ili wachawi wajue kuwa, yupo mwenye mamlaka kuliko wao.

Na ndio sababu mtu yeyote mwenye imani akitumia jina la Yesu ambaye ndiye mjumbe aliyepewa hiyo nguvu, anaweza kuponya na hata kufukuza mapepo nk.

Kwa bahati mbaya sana, watu waka mwamini Yesu kuwa ndiye Mungu badala ya Kumuamini Mungu aliyemtuma
 
Mitume kila mmoja alitumwa duniani kwa kazi maalum
Yesu alitumwa duniani kipindi ambacho watu walikuwa wana amini uchawi, na kumuasi Mungu.
Mungu akaona atume mjumbe ampe nguvu ya kufanya zaidi ya wachawi ili wamwani Mungu.

Yesu akapewa uwezo, wa kufukuza mapemo, uchawi na hata kuponya magonjwa ambayo yalikuwa hayana tiba
Na ndio sababu ukitumia jina la Yesu ambaye ndiye mjumbe alipewa hiyo nguvu, unaweza kuponya na kufukuza mapepo.
(Kwa bahati mbaya, watu waka mwamini kuwa Yesu ndiye Mungu badala ya Kumuamini Mungu aliyemtuma)
Baada ya Yesu kupaa Mbinguni,

Mbona Jina lake Hadi Leo Lina mamlaka ya kufukuza mapepo na kuponya magonjwa?

Fafanua hapo.
 
Salaam, shalom!!

Mods acheni mjadala huu upate majibu Toka Kwa wadau.

Nimeishi miaka mingi duniani Hadi sasa, na sijawahi kukutana na shehe au pastor akifukuza Roho chafu zilizowapagaa watu Kwa Jina la YEHOVA au Allah!!

Kwanini Jina YESU Lina nguvu kiasi hicho?

Karibuni🙏
Pepo gani ulimuona kafukuzwa kea jina la yesu?..pepo aogope jina yesu!?..yesu mwenyewe hakutumia jina lake kufukuza pepo
 
Ni jina linaloishi
Unamaanisha Majina mengine hayaishi?

Au tuseme Majina mengine hayana mamlaka kuzidi Jina Hilo?
Linaishi kiroho na lina mamlaka kwakuwa Kristo aliishinda kuzimu.. Mengine yalichemsha
 
Mitume kila mmoja alitumwa duniani kwa kazi maalum
Yesu alitumwa duniani kipindi ambacho watu walikuwa wana amini uchawi, na kumuasi Mungu.
Mungu akaona atume mjumbe ampe nguvu ya kufanya zaidi ya wachawi ili wamwani Mungu.

Yesu akapewa uwezo, wa kufukuza mapemo, uchawi na hata kuponya magonjwa ambayo yalikuwa hayana tiba
Na ndio sababu ukitumia jina la Yesu ambaye ndiye mjumbe alipewa hiyo nguvu, unaweza kuponya na kufukuza mapepo.
(Kwa bahati mbaya, watu waka mwamini kuwa Yesu ndiye Mungu badala ya Kumuamini Mungu aliyemtuma)
Mafundisho yake na mitume ni tofauti jaribu kupata elimu
 
Salaam, shalom!!

Mods acheni mjadala huu upate majibu Toka Kwa wadau.

Nimeishi miaka mingi duniani Hadi sasa, na sijawahi kukutana na shehe au pastor akifukuza Roho chafu zilizowapagaa watu Kwa Jina la YEHOVA au Allah!!

Kwanini Jina YESU Lina nguvu kiasi hicho?

Karibuni🙏
Na kwa nini ni waafrika tu ndiyo wenye hayo mapepo yanayofukuzwa na Yesu?
 
Pepo gani ulimuona kafukuzwa kea jina la yesu?..pepo aogope jina yesu!?..yesu mwenyewe hakutumia jina lake kufukuza pepo

Hua hamkosi akili mgando

Kwa taarifa yako mpaka akina Hamad walipougua mpaka kukata tamaa kwa kupata tiba.

Waliamua kuhitaji uponyaji kwa jina hilo hilo na wakapona.

Endelea kukaza fuvu kwa mavitu mlomezeshwa huko.
 
Back
Top Bottom