Ni kwanini Jina la YESU linafukuza mapepo tofauti na Jina Allah au Yehova?

Ni kwanini Jina la YESU linafukuza mapepo tofauti na Jina Allah au Yehova?

Na kwa nini ni waafrika tu ndiyo wenye hayo mapepo yanayofukuzwa na Yesu?
Mapepo ni Roho chafu, hayachagui RANGI Wala kabila, mweusi, mzungu ,mwarabu, anapagawa kama kawaida.

Ukiona mtu amevaa nusu Uchi, usijiulize mara mbili Wala kumtizana RANGI, ana Pepo.

Likewise, ukimwona mtu amechora tattoo mwilini, ni KAZI ya Pepo hiyo.

Karibu.
 
Mapepo ni Roho chafu, hayachagui RANGI Wala kabila, mweusi, mzungu ,mwarabu, anapagawa kama kawaida.

Ukiona mtu amevaa nusu Uchumi usijiulize mara mbili Wala kumtizana RANGI, ana Pepo.

Likewise, ukimwona mtu amechora tattoo mwilini, ni KAZI ya Pepo hiyo.

Karibu.
Nimefungua kanisa lipo kigamboni mjimwema natoa mapepo kwa TSH. 50000. Huduma ni ya uhakika nafasi ni chache usije kusema hujaambiwa. Kwa maelezo zaidi njoo inbox.
 
Wewe kazana kutoa sadaka kwa mwamposa ukija kukumbuka shuka kumekucha. Wajinga ndio waliwao
Mwamposa kaja juzi, amelikuta Jina la YESU na atakufa na kuliacha likiendelea kufanya KAZI Kwa nguvu na ubora Ule Ule.

Jikite kwenye mada, kwanini Majina mengine, Allah, YEHOVA nk nk hayawezi kufukuza mapepo?
 
images (2).jpg
 
Walokole hua mnakuaga kama vile mnachanjiwa,wewe hapo akili yako ulishamkabidhi mchungaji,hata ueleweshwe vipi huwezi kukubali jibu,

Umeleta hoja kwa njia ya swali ila unakomaa na kutokwa povu kwa kila mwenye mawazo tofauti na unachokiamini wewe,

Sasa kulikua na umuhimu gani kwako kuuliza hili swali humu?

Issue sijui ya mapepo ni imani tu wala huwezi kuithibitisha,

Dunia ipo kwenye high techology na maendele ya viwanda,wewe unabishana hapa issue ya mapepo kama vile tunaishi Enzi za Zama za Mawe.
 
Salaam, shalom!!

Mods acheni mjadala huu upate majibu Toka Kwa wadau.

Nimeishi miaka mingi duniani Hadi sasa, na sijawahi kukutana na shehe au pastor akifukuza Roho chafu zilizowapagaa watu Kwa Jina la YEHOVA au Allah!!

Kwanini Jina YESU Lina nguvu kiasi hicho?

Karibuni🙏
Isaya 9:6 ndivyo manabii walivyotabiri ujio wake
Lkn Allah hakuna popote penye utabiri wa ujio wake.

Hivyo Yesu ndio Mungu wa Kweli,mwenye mamlaka ya vitu vyote vilivyopo ulimwenguni
 
Back
Top Bottom