BLACKTIGER
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 1,568
- 1,923
Linafukuzaje mapepo na magojwaBaada ya Yesu kupaa Mbinguni,
Mbona Jina lake Hadi Leo Lina mamlaka ya kufukuza mapepo na kuponya magonjwa?
Fafanua hapo.
sijawahi kuona mgonjwa au hayo mapepo yametoka kwa jina la yesu zaid ya usanii tu!