Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soma Yohana 8:44Na pepo msafi ni nani!?.. hakuna kiumbe kiitwacho shetani,shetani(kiarabu shaytwaani) ni hali ambayo hata wewe unaweza kuwa nayo,ukimshawishi mtu kufanya uovu wewe ni shetani
Roho chafu, Evil spirits, waasi waletao mateso Kwa binadamu wasiotii Mungu, wamtiio shetani.
Ibilisi,aliyekua akimshawishi ibrahim asimtoe sadaka mwanae, ibilisi aliwalaghai adam na mkewe wakausogelea mti waliokatazwa,kitendo cha ibilisi kuwalaghai wamuasi mola wao, ibilisi anakua kafanya ushetaniSoma Yohana 8:44
Shetani ni kiumbe, baba wa UOVU na uuaji na Hila zote.
Sasa kule hija Huwa mnarusha mawe kumponda nani ikiwa shetani ni Hali ya mtu kuwa mwovu?
Unamuongelea Yesu au Issa?Mitume wote (kila mmoja) alitumwa Duniani kwa kazi maalum
Yesu alitumwa duniani kipindi ambacho watu walikuwa wana amini Uchawi/Ushirikina, na kumuasi Mungu.
Mungu akaona atume mjumbe ampe nguvu ya kufanya zaidi ya wachawi ili wamwani Mungu.
Yesu akapewa uwezo mkubwa, wa kufukuza mapepo, kuponya waliorogwa na hata kuponya magonjwa ambayo yalikuwa hayana tiba, kufufua na mengine mengi ambayo wachawi hawakuyaweza. Hata kuzaliwa kwake Mungu alikufanya tofauti ili wachawi wajue kuwa, yupo mwenye mamlaka kuliko wao.
Na ndio sababu mtu yeyote mwenye imani akitumia jina la Yesu ambaye ndiye mjumbe aliyepewa hiyo nguvu, anaweza kuponya na hata kufukuza mapepo nk.
Kwa bahati mbaya sana, watu waka mwamini Yesu kuwa ndiye Mungu badala ya Kumuamini Mungu aliyemtuma
Hujakutana na masaibu ya mapepo na nguvu za Giza,Nafunga mdomo wangu kwa vitu vya kufikirika
Kichapo anachomilikishwa shetani amewatuma sasa wafuasi wake kuintigate kuwa Yesu siye bali ni Yeshua ili apumue na kisagoSalaam, shalom!!
Mods acheni mjadala huu upate majibu Toka Kwa wadau.
Nimeishi miaka mingi duniani Hadi sasa, na sijawahi kukutana na shehe au pastor akifukuza Roho chafu zilizowapagaa watu Kwa Jina la YEHOVA au Allah!!
Kwanini Jina YESU Lina nguvu kiasi hicho?
Karibuni🙏
Mtu yeyote anaweza fukuza Pepo Kwa Jina la YESU?Mitume wote (kila mmoja) alitumwa Duniani kwa kazi maalum
Yesu alitumwa duniani kipindi ambacho watu walikuwa wana amini Uchawi/Ushirikina, na kumuasi Mungu.
Mungu akaona atume mjumbe ampe nguvu ya kufanya zaidi ya wachawi ili wamwani Mungu.
Yesu akapewa uwezo mkubwa, wa kufukuza mapepo, kuponya waliorogwa na hata kuponya magonjwa ambayo yalikuwa hayana tiba, kufufua na mengine mengi ambayo wachawi hawakuyaweza. Hata kuzaliwa kwake Mungu alikufanya tofauti ili wachawi wajue kuwa, yupo mwenye mamlaka kuliko wao.
Na ndio sababu mtu yeyote mwenye imani akitumia jina la Yesu ambaye ndiye mjumbe aliyepewa hiyo nguvu, anaweza kuponya na hata kufukuza mapepo nk.
Kwa bahati mbaya sana, watu waka mwamini Yesu kuwa ndiye Mungu badala ya Kumuamini Mungu aliyemtuma
Yesu ni Kwa kiswahili,Kichapo anachomilikishwa shetani amewatuma sasa wafuasi wake kuintigate kuwa Yesu siye bali ni Yeshua ili apumue na kisago
Hujakutana na masaibu ya mapepo na nguvu za Giza,
IPO siku!
Kipofu kutokuona mwezi, haimaanishi kuwa mwezi haupo!Hapana aisee vya kufikirika unakutana navyo vipi? Nakutana na physical stuff not imaginary
Yesu ndiye mkuu wa hao wote.Salaam, shalom!!
Mods acheni mjadala huu upate majibu Toka Kwa wadau.
Nimeishi miaka mingi duniani Hadi sasa, na sijawahi kukutana na shehe au pastor akifukuza Roho chafu zilizowapagaa watu Kwa Jina la YEHOVA au Allah!!
Kwanini Jina YESU Lina nguvu kiasi hicho?
Karibuni🙏
Kipofu kutokuona mwezi, haimaanishi kuwa mwezi haupo!
Amina. Ubarikiwe 🙏Yesu ndiye mkuu wa hao wote.
Ninamaanisha wewe ni kipofu, nawezaje kukuthibitishia uwepo wa mwezi?Mwezi ni physical na kila mwenye macho anaona na ushasema kipofu haoni chochote sio mwezi tu!
I rest my case sir😅😅Ninamaanisha wewe ni kipofu, nawezaje kukuthibitishia uwepo wa mwezi?
IPO siku utabanabishwa kwenye Kona na nguvu za Giza ndipo utaamini.
Kwa imani yakoNa pepo msafi ni nani!?.. hakuna kiumbe kiitwacho shetani,shetani(kiarabu shaytwaani) ni hali ambayo hata wewe unaweza kuwa nayo,ukimshawishi mtu kufanya uovu wewe ni shetani
Hujui kuwa ,Usilitaje bure jina Mungu wako, Mungu hatamhesabia haki mtu atajaye jina lake bure
Na ndio maana tunamtumia Yesu mwana kukemea maovu na pepo wachafu