- Thread starter
- #521
Neno Baba katika kiswahili ni Jina au sio Jina?aloo ww jamaa BABA ni jina? ama kiwakilishi cha jina?
kama ni kiwakilishi cha jina jina lenyewe ni nani?
biblia inasemaa jina la MUngu ni yesu kristo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Neno Baba katika kiswahili ni Jina au sio Jina?aloo ww jamaa BABA ni jina? ama kiwakilishi cha jina?
kama ni kiwakilishi cha jina jina lenyewe ni nani?
biblia inasemaa jina la MUngu ni yesu kristo
Mapepo ndio kitu gani?Salaam, shalom!!
Mods acheni mjadala huu upate majibu Toka Kwa wadau.
Nimeishi miaka mingi duniani Hadi sasa, na sijawahi kukutana na shehe au pastor akifukuza Roho chafu zilizowapagaa watu Kwa Jina la YEHOVA au Allah!!
Kwanini Jina YESU Lina nguvu kiasi hicho?
Karibuni🙏
aminaWapi nimesema Mungu ana NAFSI tatu?
Mungu ana NAFSI Moja.
Kama ambavyo mtu ni ROHO, anaishi ndani ya MWILI, na ana NAFSI Moja.
Mungu pia ni NAFSI Moja, akikaa Mbinguni KITI Cha enzi ni Baba,
Akija duniani katika mwili ni Mwana,
Akiwa ndani ya watu wote at once, ni ROHO MTAKATIFU, lakini ni yule yule Mungu Mmoja, NAFSI Moja.
Mungu ni MMOJA na YESU KRISTO/YESHUA HAMASHIACH ndilo JINA lake. Amen
Roho chafu, Evil spirits, waasi waletao mateso Kwa binadamu wasiotii Mungu, wamtiio shetani.Mapepo ndio kitu gani?
upo sahihi kabisaaaa.Wapi nimesema Mungu ana NAFSI tatu?
Mungu ana NAFSI Moja.
Kama ambavyo mtu ni ROHO, anaishi ndani ya MWILI, na ana NAFSI Moja.
Mungu pia ni NAFSI Moja, akikaa Mbinguni KITI Cha enzi ni Baba,
Akija duniani katika mwili ni Mwana,
Akiwa ndani ya watu wote at once, ni ROHO MTAKATIFU, lakini ni yule yule Mungu Mmoja, NAFSI Moja.
Mungu ni MMOJA na YESU KRISTO/YESHUA HAMASHIACH ndilo JINA lake. Amen
Amen, ubarikiwe 🙏Wakolosai 1:26-28
[26]siri ile iliyofichwa tangu zamani zote na tangu vizazi vyote, bali sasa imefunuliwa kwa watakatifu wake;
Even the mystery which hath been hid from ages and from generations, but now is made manifest to his saints:
[27]ambao Mungu alipenda kuwajulisha jinsi ulivyo utajiri wa utukufu wa siri hii katika Mataifa, nao ni Kristo ndani yenu, tumaini la utukufu
To whom God would make known what is the riches of the glory of this mystery among the Gentiles; which is Christ in you, the hope of glory:
[28]ambaye sisi tunamhubiri habari zake tukimwonya kila mtu, na kumfundisha kila mtu katika hekima yote, tupate kumleta kila mtu mtimilifu katika Kristo.
Whom we preach, warning every man, and teaching every man in all wisdom; that we may present every man perfect in Christ Jesus:
Not only under heaven,Matendo ya Mitume 4:12
[12]Wala hakuna wokovu katika mwingine awaye yote, kwa maana hapana jina jingine chini ya mbingu walilopewa wanadamu litupasalo sisi kuokolewa kwalo.
Neither is there salvation in any other: for there is none other name under heaven given among men, whereby we must be saved.
mungu akubariki sana .Not only under heaven,
Kila goti litapigwa Mbinguni na duniani na Kila ulimi utajiri Yesu ni BWANA Kwa utukufu wa Mungu baba.
Mungu ni MMOJA na YESU KRISTO/YESHUA HAMASHIACH ndilo JINA lake. Amen
Ubarikiwe pia.🙏mungu akubariki sana .
upo sahihi kabisa kabisa
Not only under heaven,
Kila goti litapigwa Mbinguni na duniani na Kila ulimi utakiri Yesu ni BWANA Kwa utukufu wa Mungu baba.
Mungu ni MMOJA na YESU KRISTO/YESHUA HAMASHIACH ndilo JINA lake. Amen
Miaka na miaka tunaona shuhuda za kupona presha,ukimwi,ulemavu baada ya kuombewa,unaandika utoko gani hapa!?Ndiyo maana ukiumwa njaaa unakula hufanyi maombi ili ushibe, hata yesu alilisha watu kwa samaki wawili na mikate mitano hakuombea washibe bali walikula wakashiba, kuna mahitaji ya mwili na mahitaji ya roho vi vitu viwili tofauti kabisa, ukiumwa mwili ukawa dhaifu kwa sababu ya dhaifu la mwili unatafuta tiba upone huombi, ukiumwa kwa kurogwa au kufanyiwa ushirikina ili uumwe unaombewa ili upone.
Pepo ni nini kwanza!?..huwa nawasikia mkisema pepo mchafu,kuna pepo msafi!?Njoo na mapepo yako uone utakavyo toka speed 300kph
Ili jina la Yesu ndo tulilopewa kutuokoa kutukomboa kututoa katika maangamizi ya adui ili jina lina nguvu pia na damu ya Yesu ina nguvu sana 🙏🙏🙏🙏Salaam, shalom!!
Mods acheni mjadala huu upate majibu Toka Kwa wadau.
Nimeishi miaka mingi duniani Hadi sasa, na sijawahi kukutana na shehe au pastor akifukuza Roho chafu zilizowapagaa watu Kwa Jina la YEHOVA au Allah!!
Kwanini Jina YESU Lina nguvu kiasi hicho?
Karibuni🙏
ShetaniPepo ni nini kwanza!?..huwa nawasikia mkisema pepo mchafu,kuna pepo msafi!?
Waislam hawana namna ya kutoa mapepo isipokuwa kwa kutumia tunguliIli jina la Yesu ndo tulilopewa kutuokoa kutukomboa kututoa katika maangamizi ya adui ili jina lina nguvu pia na damu ya Yesu ina nguvu sana 🙏🙏🙏🙏
Mwanaume hataki mke kachoka anatafuta mlango wakutokeaKwa nini wasijiombee wakapona?!..hivi unafikiri kweli!?
Na pepo msafi ni nani!?.. hakuna kiumbe kiitwacho shetani,shetani(kiarabu shaytwaani) ni hali ambayo hata wewe unaweza kuwa nayo,ukimshawishi mtu kufanya uovu wewe ni shetaniShetani