Gentlemen_
JF-Expert Member
- Nov 24, 2019
- 4,431
- 13,876
Alikuwa yupo vizuri sana.. na anasauti nzuri pia alikuw anavionjo vya wasanii wa magharibi..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muziki ulikuwa unampenda Kylin kuzidi yeye anavyoupenda, ndani ya muda mfupi aliweza kutoa hits hizo 5 lakini Media hasa ile kubwa haikuzipa airtime inayostahili, Ilikuwa nadra kumuona kwenye shows, n.k. licha ya mashabiki kumkubali.Nakubaliana na wewe K Lyn is underated. Kabla ya kua Miss Tanzania alikua pia kwenye band moja ilikua inapiga live pale Kilimanjaro Hotel.
!nikiwa mdogo
Muziki na maisha, kwani uongo alikuwa gold digger? Licha ya kumkubali ila hio pia ilikuwa tabia yake chafumsimseme vibaya mtoto wa watu muacheni! hapa hatuzungumzii kudanga bali mziki wake.
ALIISATILI=ALIISALITINi kwasababu aliisatili Bongo fleva na kukimbilia 🍆
Ila kusema ukweli hizo nyimbo zote ulizozitaja, ni nzuri mpaka kesho. Lakini pia na yeye mwenye K Lyn ni mrembo aisee! Ni vile tu kwa sehemu fulani aliichafua CV yake kwenye lile sakata lake la kudai mirathi.
Mchango wake kwenye sanaa ya bongo sio wa kubeza lakini alichukuliwa poa.
Hakuwa msanii aliebahatisha kutoa Hit moja au mbili akapotea, Alihusika kwenye Hits 5, Ni wasanii wa kike wachache sana waliweza kutoa hits zaidi ya 3 (Ray C, Jide, Enika, n.k.), Sio rahisi !!
Zifuatazo ni hits zake 5 alizowahi kutu bless kwenye bongo fleva
kuimba alikuwa anajua, Alitoa hits ndani ya muda mchache, Alikuwa mrembo (Miss Tanzania), alikuwa mchangamfu, Shooting kali, Vionjo vya wasanii wa Marekani, n.k.
- Nikipata wangu
- Crazy over you ft Squeezer
- Nalia kwa furaha ft Bushoke
- Nishike mkono ft Blue
- Chochote utapata ft Noorah
Kwa mtazamo wangu sina ushahidi lakini navyoona K Lyn alikuwa na pesa nje ya muziki, alikataa unyanyasaji na unyonyaji wa media kubwa, mapromota wanyonyaji nao walishindwa kumnasa hivyo ikapelekea kupewa airtime kidogo kinyume na ukubwa wa hits zake pamoja na kuwa shows chache ambazo hazikuendana na kiu ya mshabiki, Muziki aliufanya kama hobby ya kufurahisha mashabiki zake kuzidi maslahi.
She was brilliant
Mchango wake kwenye sanaa ya bongo sio wa kubeza lakini alichukuliwa poa.
Hakuwa msanii aliebahatisha kutoa Hit moja au mbili akapotea, Alihusika kwenye Hits 5, Ni wasanii wa kike wachache sana waliweza kutoa hits zaidi ya 3 (Ray C, Jide, Enika, n.k.), Sio rahisi !!
Zifuatazo ni hits zake 5 alizowahi kutu bless kwenye bongo fleva
kuimba alikuwa anajua, Alitoa hits ndani ya muda mchache, Alikuwa mrembo (Miss Tanzania), alikuwa mchangamfu, Shooting kali, Vionjo vya wasanii wa Marekani, n.k.
- Nikipata wangu
- Crazy over you ft Squeezer
- Nalia kwa furaha ft Bushoke
- Nishike mkono ft Blue
- Chochote utapata ft Noorah
Kwa mtazamo wangu sina ushahidi lakini navyoona K Lyn alikuwa na pesa nje ya muziki, alikataa unyanyasaji na unyonyaji wa media kubwa, mapromota wanyonyaji nao walishindwa kumnasa hivyo ikapelekea kupewa airtime kidogo kinyume na ukubwa wa hits zake pamoja na kuwa shows chache ambazo hazikuendana na kiu ya mashabiki, Muziki aliufanya kama hobby ya kufurahisha mashabiki zake kuzidi maslahi.
NAKAZIAMchango upi wa kudanga
1. Jackline NtuyabaliweK lyn yule mke wa professor janabi mke wa nyalandu yule Nancy sumary mke mmoja wa waziri sasa walikuwa wadangaji tu walikuwa wanawinda mapedeshee na wamewapata wamejaa kwenye mfumo kwa hyo heshima wamepata mkuu pamoja na hyo k lyn.