kwa kiingereza hiki cha gudu moninge ?Mara nyingi huwa tunachukuliwa kwenye taasisi nyeti au nchi za nje,
Kwa sababu mabosi wao vilaza wanawakandamiza ili wasi-shine katika u-genius wao. Kwa utamaduni wetu sisi Waafrika, ukiwa genius bosi wako atakuona wewe ni threat, sio asset.Kwa nini mara nyingi wale waliokuwa “genius” darasani wakimaliza shule wanapata ugumu kutoboa kwenye biashara au kujiajiri? 🤔
hii ipo deep sanaThe world doesn't pay you for what you know, but what you do with what you know.
Hakika neno " kilaza" linawafaa haswa.Kwa sababu mabosi wao vilaza wanawakandamiza ili wasi-shine katika u-genius wao. Kwa utamaduni wetu sisi Waafrika, ukiwa genius bosi wako atakuona wewe ni threat, sio asset.
Hata Raisi Moi wa Kenya anajulikana kuua mawaziri ma-genius. Prof Saitot unafikiri aliishia wapi? Tom Mboya enzi za Kenyatta? Hata hapa TZ ma genius wameondolewa au kupewa sumu. Sokoine, Omar Juma, Filikunjombe, nk. Na walichomfanyia Prof. Mwandosya? Tundu Lissu? Mwakyembe enzi za ubora wake?
Unafikiri kwa nini "viongozi" wetu hawataki ma-genius walioajiriwa nje ya nchi wapewe uraia pacha?
Kuna jambo moja ambalo ni gumu sana katika ulimwengu wa ajira - kuwa na bosi kilaza na wewe ni genius. Soon or later utapelekwa kwenye disciplinary committee kuwa huna nidhamu, una kiburi, hufuati maelekezo.
Mkuu unamjua genius? Hao ni watu special sana. Nchi nzima wanaweza wasifike watano. Nafikiri wewe unaongelea waliokua wanaongoza darasani. Olevel na alevel nimesoma special schools nimesoma nao hao watu. Ambao ninafahamiana nao mpaka leo wengi ni diaspora na waliopo hapa nchini wapo vyema kiuchumi na wengine wana kampuni zao binafsiKwa nini mara nyingi wale waliokuwa “genius” darasani wakimaliza shule wanapata ugumu kutoboa kwenye biashara au kujiajiri? 🤔
Kwa sababu mabosi wao vilaza wanawakandamiza ili wasi-shine katika u-genius wao. Kwa utamaduni wetu sisi Waafrika, ukiwa genius bosi wako atakuona wewe ni threat, sio asset.
Hata Raisi Moi wa Kenya anajulikana kuua mawaziri ma-genius. Prof Saitot unafikiri aliishia wapi? Tom Mboya enzi za Kenyatta? Hata hapa TZ ma genius wameondolewa au kupewa sumu. Sokoine, Omar Juma, Filikunjombe, nk. Na walichomfanyia Prof. Mwandosya? Tundu Lissu? Mwakyembe enzi za ubora wake?
Unafikiri kwa nini "viongozi" wetu hawataki ma-genius walioajiriwa nje ya nchi wapewe uraia pacha?
Kuna jambo moja ambalo ni gumu sana katika ulimwengu wa ajira - kuwa na bosi kilaza na wewe ni genius. Soon or later utapelekwa kwenye disciplinary committee kuwa huna nidhamu, una kiburi, hufuati maelekezo.
Ujiniaz ni kipaji na wewe huamini katika vipajiKwani ujiniazi wewe unaupima vipi/ unamtambua vipi mtu jiniazi.
Tuanzia hapo kwanza kabla sijakuchapa swali lingine.
Kwa nini mara nyingi wale waliokuwa “genius” darasani wakimaliza shule wanapata ugumu kutoboa kwenye biashara au kujiajiri? 🤔