Ni kwanini ma genius wengi darasani bila kuajiriwa ni ngumu kutoboa kwenye biashara au kujiajiri ?

Ni kwanini ma genius wengi darasani bila kuajiriwa ni ngumu kutoboa kwenye biashara au kujiajiri ?

Kwa nini mara nyingi wale waliokuwa “genius” darasani wakimaliza shule wanapata ugumu kutoboa kwenye biashara au kujiajiri? 🤔
Edward Snowden genius wa mifumo ya usalama wa US, alijiajiri wapi?
Kitu cha kawaida, sio kila mtu anaweza kujiajiri, ingekuwa, ni racist basi raia wa IS, UK, Norway, wore wangemiriki makampuni!
Dunia ya, watu bilioni 8,matqjiri ni kumi tu!
Unahitqji ma engineer, waajiliwe NASA, jeshiini, watengeneze mifumo ya defense system, radar system, drones, surveillance system, wale, mageneois wanafanya kazi, huko, then unahitqji watu kama Eron musk, bill gates, Zuckerberg, waanzishe makampuni,
Genius wa mifumo ya cyber alieajiliwa BOT,anaweza kuanzisha, kampuni yqke, maana ikitokea akaajiliwa google akalipwa, 35M kwa, mwezi, sipati picha maajabu anayoqeza kufanya, sio ajira, mshenzi, za, kuuza nguo,simu, na upuuzi mwongine wa bongo
 
Kwa nini mara nyingi wale waliokuwa “genius” darasani wakimaliza shule wanapata ugumu kutoboa kwenye biashara au kujiajiri? 🤔
SWALI LAKO NI SAWA NIKUULIZE
Kwa nini wale waliokuwa hawafaulu madarasani hawawezi kufanya kazi kama za Udactari, Engineering, nk?
Kama wewe ambaye ulikuwa haufaulu huwezi kufanya hizo za Udactari na Engineering; Ndivyo na wao wanaofaulu hawawezi kufanya hizo kazi za try and error....hakuna mtu anaweza kufanya kazi zote.....
 
Tanzania inaingiza mtaani magenius wangapi kika mwaka?
Huwezi kujua idadi ya watu magenius. Wamechanganyika kwenye jamii yetu
Hao watano unaosema probably wapo hao pekee Tanzania, labda unazungumzia definition yako binafsi ya neno Genius
 
Huwezi kujua idadi ya watu magenius. Wamechanganyika kwenye jamii yetu
Hao watano unaosema probably wapo hao pekee Tanzania, labda unazungumzia definition yako binafsi ya neno Genius
Magenius wanaotoka vyuoni kila mwaka hawafiki watano. Na hawa huwa wanawaiwa fasta fasta na mataifa makubwa ambayo kwao IQ ni dili. Wanapewa scholarship, wanafanya maisha yao huko huko.

Kujulikana kwao kunatokana na gunduzi wanazozifanya, sio kumfuatilia mmoja mmoja mtaani.
 
Kumbe unajua, sasa unasemaje magenius hawafiki watano wakati unasema kabisa wapo na wanachukuliwa na mataifa makubwa.
Kuna wengine ni magenius pia na sio lazima wachukuliwe na mataifa makubwa
 
Kumbe unajua, sasa unasemaje magenius hawafiki watano wakati unasema kabisa wapo na wanachukuliwa na mataifa makubwa.
Kuna wengine ni magenius pia na sio lazima wachukuliwe na mataifa makubwa
Mkuu magenius ni wachache sana. Ukikusanya wahitimu wote wa mwaka wa masomo vyuoni magenius hawafiki watano nchi nzima.

Tuliona wengi wapo kwenye level fulani kibongo bongo tunawaita vipanga. Bado hawajafika level ya kuitwa genius.

Wakikusanywa wahitimu wa form 6 wote wakafanyiwa interview anaweza asitoke hata mmoja mwenye qualifications za kuingia YALE University
 
Kwa hiyo wakichukua top students Tanzania wakaenda kusoma huko Yale University ndio watakuwa vilaza wa mwisho?
 
Kwa hiyo wakichukua top students Tanzania wakaenda kusoma huko Yale University ndio watakuwa vilaza wa mwisho?
Genius ni level ya juu sana mzee baba. Genius anaingia kwenye game kubadilisha kanuni. Hawa vipanga wetu ambao walishindwa hata kumtibu ommy dimpoz tu, bado hawajafika level ya kuitwa magenius. Wewe elewa hivyo tu.
 
Majiniazi wote mbona serikali zenu zinakandamiza na si kwamba hawaonekani/kuonesha uwezo wao.

Mtu aliyeweza kugundua dawa inayotibu magonjwa ambayo serikali zote za Afrika pamoja na mashirika yake ya kiuchunguzi,kitabibu na sapoti kubwa ya kifedha wameshindwa, lkn anakuja kijana mmoja ambaye kwa mujibu wa uelewa wenu mngempima uwezo wake wa akili kupitia mitihani ya darasani, huyu anavumbua tiba ambayo ninyi na fedha zenu mmeshindwa kwa miaka na miaka, je huyu si Genius?, maajabu ni kwamba hapewi sapoti yoyote na serikali je uwezo wake utaisaidia vipi jamii itambue mchango wake?.

Si hilo tu kuna mengi mna ushahidi, wapo vijana mamia kwa mamia wamekuwa wakivumbua technolojia ambazo serikali inatumia mamilion/mabilion ya fedha kuzipata lkn haitaki kusave pesa hizo kwa kuinvest kwenye vumbuzi za hawa vijana je mchango wao utaonekana vipi?.

Ni mengi sana, bado tumebaki ktk fikra za kitumwa na kipumbavu kuwa akili inapimwa kwa uwezo wa kuclaim notes za darasani which is nonsense.

Akili haipimwi kwa kufaulu mitihani WATANZANIA tubadirike, tumepoteza vipaji vingi sababu ya huu MFUMO MFU wa elimu ya kitumwa
 
Back
Top Bottom