Kifaru86
JF-Expert Member
- Apr 22, 2017
- 1,734
- 3,822
kuna utafiti nimeufanya katika mikoa mingi nchini maeneo yote ya mijini yanakaliwa na watu kutokea kabila la wamanyema ....
kwa mfano ukiangalia mikoa kama vile
1.Dar es salaam wazalamo wanajinasibu kuwa ndo mkoa wao na ndo wenyeji lakini ukienda maeneo ya kariakoo, ilala asilimia kubwa maeneo hayo yanakaliwa na wamanyemaaa na ndio wenye nyumba na maeneo nengi wanamiliki wao
2.ukienda bukoba mjini wamanyema ndo wengi na ndio wenye nyumba na ndio wanaotawala mjini lakini ukiwatafuta wenyeji ambao ni wahaya wapo vijijini uko muleba, nshamba, karagwe, kamachumu ,kiziba lakini mjini bukoba mjini walishaondolewa na wamanyema
3.ukienda tabora hivyo hivyo wamanyema ndo wengi ukifika tabora mjini ukiwatafuta wenyeji wa mkoa unawakuta uko vijijini kama sikonge,urambo, mabama, usoke, kaliuwa, nzega,
4.ukienda mbeya mjini wamanyema ndo wako wengi na ndio wenye nyumba lakini wenyeji utawakuta huko vijijini kyela,tukuyu na wilaya zingine
5.ukienda mwanza mjini wamanyema ndo wengi na ndio wenye nyumba na viwanja lakini ukiwatafuta wageni mpka uende vijijini
je ni kwanini wamanyema wengi wanapatikana mijini katika mikoa mingi na ndio wenye nyumba au ndo ile story wazee wengi wa zamani walihonga nyumba na viwanja kwa wamanyemaa
Sent using Jamii Forums mobile app