Ni kwanini maeneo mengi ya mijini nchini yanakaliwa sana wamanyema kuliko wenyeji wa mikoa hiyo

Ni kwanini maeneo mengi ya mijini nchini yanakaliwa sana wamanyema kuliko wenyeji wa mikoa hiyo

Kifaru86

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2017
Posts
1,734
Reaction score
3,822
kuna utafiti nimeufanya katika mikoa mingi nchini maeneo yote ya mijini yanakaliwa na watu kutokea kabila la wamanyema ....

kwa mfano ukiangalia mikoa kama vile

1.Dar es salaam wazalamo wanajinasibu kuwa ndo mkoa wao na ndo wenyeji lakini ukienda maeneo ya kariakoo, ilala asilimia kubwa maeneo hayo yanakaliwa na wamanyemaaa na ndio wenye nyumba na maeneo nengi wanamiliki wao

2.ukienda bukoba mjini wamanyema ndo wengi na ndio wenye nyumba na ndio wanaotawala mjini lakini ukiwatafuta wenyeji ambao ni wahaya wapo vijijini uko muleba, nshamba, karagwe, kamachumu ,kiziba lakini mjini bukoba mjini walishaondolewa na wamanyema

3.ukienda tabora hivyo hivyo wamanyema ndo wengi ukifika tabora mjini ukiwatafuta wenyeji wa mkoa unawakuta uko vijijini kama sikonge,urambo, mabama, usoke, kaliuwa, nzega,

4.ukienda mbeya mjini wamanyema ndo wako wengi na ndio wenye nyumba lakini wenyeji utawakuta huko vijijini kyela,tukuyu na wilaya zingine

5.ukienda mwanza mjini wamanyema ndo wengi na ndio wenye nyumba na viwanja lakini ukiwatafuta wageni mpka uende vijijini

je ni kwanini wamanyema wengi wanapatikana mijini katika mikoa mingi na ndio wenye nyumba au ndo ile story wazee wengi wa zamani walihonga nyumba na viwanja kwa wamanyemaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bukoba sio kweli Wamanyema hawapo Bukoba Wahaya wanamiliki mji wao. Halafu kumbuka kesho inajengwa na leo
kiongozi mimi nazungumzia bukoba mjini na sio vijijini mimi nasemea mjini ambapo wamanyema ndo wengi zaidi kuliko wahaya ambao wanapatikana vijijini uko nshamba,kiziba,muleba, kamachumu, bukoba vijijini, kyaka, kanyigooo ...

lakini ukifika mjini wahaya wa kuhesabu na ukimkuta muhaya bukoba mjini ni mpangaji ila mwenye nyumba ni mmanyema ndo maana muhaya akiwa bukoba mjini anaonekana wa kujaa hata wewe ulitoa hiii comment kama ni muhaya wa muleba lakini bukoba mjini haupajui na wala hamna nyumba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Napingana na hoja ya huu uzi,kuna aina ya uzi wenye maudhui kama haya umefunguliwa mwingine unadai watu wote maarufu wanatoka Kigoma,kuna kitu hakipo sawa somewhere....ngoja tusubiri tuone mwisho wake..
 
Narudia tena na tena, kitu kinachowaponza watu Wa kigoma ni sifa za kijinga na ubishi ubishi usio na kichwa wala miguu, mjinga mmoja anakuja anasema eti Abduli Nondo ni MTU maarufu
 
Historia inaeleza Wamanyema si Watanzania na chimbuko lao ni DRC na huko wanajulikana Kama Wabembe hatu Hawa istory inasomeka waliikimbia DRC kipindi Cha Rais Mobuttu kwani walionekana kuwa ni adui wa Mobuttu nae akaamua kuwa adui yao ,Ndipo waliikimbia DRC na kupitia Ziwa Tanganyika na kufanya makazi yao huko Mkoa wa Kigoma mwambao wa Ziwa Tanganyika ,I'll waweze kuishi pasipo bughudhaa walijibadri na kujiita Wamanyema bada yakuishi huko kwa mda mrefu na Watu Hawa wa asiri ya akili Sana na kali zao ndizo ziliwawezesha kujipenyeza Kila Kona ya Tanzania na wengi wao pia waliweza kupata elimu ya juu Hadi kupata ajira za kudumu Tanzania lengo lao kujitanua kimaisha na sio Kwetu Tanzania tu hata Nchi zingine kumbuka pia wana unasaba na Watusi Kutoka Rwanda na Africa ya Kati pia ,Wamefaulu kujitanua kwa Siri kubwa Hadi Ulaya na Amerika pia ukitafiti Sana hawako mbali pia kinasaba na Wazayuni wa Israel ,wana uwezo mkubwa na maarifa ficho ila kwa Tanzania wingi wa makabira uliopo ndio ulikuwa msaada mkubwa kwa Wabembe ambao ndio Wamanyema kuzidi kujitanua kwa Siri kubwa ,Wengi wao usishangae wana madraka na vyeo vikubwa Sana Tanzania na Nchi zingine za Afrika

Hizi fiksi kiboko!!

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom