Kwanini isikabidhiwe kwa Watanzania (wananchi)Hizo ni sera za CCM kuletea Watanzania maendeleo
Kwann isikabidhiwe kwa Watanzania (wananchi)
Chama cha mapinduzi ndicho kinaisimamia serikali kwa hiyo ikikamilika serikali inakabidhi ripoti na miradi kwa chama kuwa sisi kazi mliyoyututuma serikali tufanye hiyo hapo tunawakabidhi.Kivipi bwashee?
Pesa ni za serikali ya CCMPesa za serilkali lakini utekelezaji wa ccm,
Hao wanaCCM ni akina nani by the wayWanaccm watakabidhi kwa Wananchi
Safi kabisaChama cha mapinduzi ndicho kinaisimamia serikali kwa hiyo ikikamilika inakabidhiwa ripoti kwa chama na kukabidhiwa kwa chama kuwa sisi kazi mliyoyututuma serikali tufanye hiyo hapo tunawakabidhi.
Watendaji wote wakubwa ni zao la CCM na miradi yote inayotekelezwa ni kwa mujibu wa CCM na ndio maana serikali ikikosea watu tunasema ni CCM ndio imekose na tunataka kuitoa madarakani.Chama kinaisimamia serikali.?
Ndio kuanzia nje ya bunge hadi ndani ya bunge wabunge walio wengi bungeni na wenye kura ya VETO bungeni NI KAMATI ya chama cha Mapinduzi.Chama kinaisimamia serikali.?
Ulitakiwa kuhisi aibu kwa kauli kama hiyo.CCM iliandaa ilani,walipotangazwa washindi 2015 waliikabidhi ilani hiyo kwa serikali,ambayo inatekeleza. Hivyo hiyo miradi ni ya umma/serikali na chama hakuna nafasi humo zaidi ya usanii. Ni bahati mbaya haya yanafanyika kwa gharama za walipa kodi.Miradi yote iko chini ya chama cha mapinduzi