Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu anasubiri firing squad come 2020!
Sababu mauaji ya Ben Saanane, Utekaji wa kina Roma mkatoliki, Mauaji ya Diwani wa Hananasifu na mengine mengi. Uzuri ni kwamba tayari yuko kwenye list ya No-fly -Ban anakikanyaga tu kwenye international airport yoyote duniani anakula bangili za chuma!! Mwacheni atapetape!
Wewe huyu yupo kwenye list! Ni rahisi tu hebu muulize hili: Akina Diamond walienda kumlilia wakati Roma alipotekwa! Yeye akawaahidi kuwa wasiwe na wasiwasi angerudishwa kabla ya Jumamosi- Ikawa hivyo. Vile vile ilikuwa hivyo kwa Mo Dewji. Sasa Roma yuko US ametoa ushahidi kuwa Makonda anahusika na utekaji wake. Yuko amepigwa Ban kukanyaga US na kupanda ndege za kimataifa! Huyu alikuwa Dodoma wakati Tundu Lissu akishambuliwa na viashiria vyote vinamhusisha na shambulio hili baya. Huyu anahusishwa na Nape kutishiwa wakati akimchunguza na uvamizi wa Clouds ambayo ni tuhuma yenye ushahidi wa CCTV camera! Usimtetee muuaji POLESI vyema kumhusisha mtu na HISIA mbaya zisizoeleweka...si utu kwa kweli...acha KUTIA CHUKI MIOYONI MWA WATU
Kipindi hiki tumevamiwa na wajinga fulani kwenye uongozi wa nchi hii na wameharibu nchi sana nadhani mnawajua.Ndugu zangu, mimi sielewi hii kitu.
Nauliza ili nipate kujua, nimekuwa nikishangaa huu mkakati wa Paulo Makonda, RC Dar es Salaam. Sijawahi kuona kabla, pengine ni kwa vile sijui!
Kama hiyo haitoshi, anatumia nafasi hiyo kuwadhihaki watu na kuwananga ikiwa mbunge wa eneo la mradi hatokani na chama chake.
Pamoja na ukweli kuwa serikali iliyopo madarakani inatekeleza ilani ya chama chake, ni nini kinawapa umiliki namna hii?
Miradi ya maendeleo, miradi ya serikali, ni vipi inakabidhiwa kwa chama? Je, ni mali ya chama?
Maendeleo hayana vyama!
Wasalaam,
Ncha Kali.
Mbona kabidhi kabidhi nyingi,utaratibu huo ni wa ccm mpya?WanaCCM watakabidhi kwa Wananchi
Mnatia shaka,hamjiamini?Gharama za makabidhiano zinakuwa ndani ya bajeti ya miradi husika?Why all this drama?Chama cha mapinduzi ndicho kinaisimamia serikali kwa hiyo ikikamilika serikali inakabidhi ripoti na miradi kwa chama kuwa sisi kazi mliyoyututuma serikali tufanye hiyo hapo tunawakabidhi.
Wanafanya hayo maovu na bado wanapata waungaji mkono,hata humu Jukwaani wamejazana,hawalali na wapi online 24/7.Ukistaajabu ya Wamalawi utayaona ya Watanzania panapo October 2020!!!Kipindi hiki tumevamiwa na wajinga fulani kwenye uongozi wa nchi hii na wameharibu nchi sana nadhani mnawajua.
Chama cha magufuli (ccm) wanachama wake hawazidi 5% ya wananchi wote. Inakuwaje miradi ikabidhiwe kwa hiko kikundi kidogo?!Miradi yote iko chini ya Chama cha Mapinduzi.
Mbona kabidhi kabidhi nyingi,utaratibu huo ni wa ccm mpya?
Ya "akutukanaye".....Wewe huyu yupo kwenye list! Ni rahisi tu hebu muulize hili: Akina Diamond walienda kumlilia wakati Roma alipotekwa! Yeye akawaahidi kuwa wasiwe na wasiwasi angerudishwa kabla ya Jumamosi- Ikawa hivyo. Vile vile ilikuwa hivyo kwa Mo Dewji. Sasa Roma yuko US ametoa ushahidi kuwa Makonda r na utekaji wake. Yuko amepigwa Ban kukanyaga US na kupanda ndege za kimataifa! Huyu alikuwa Dodoma wakati Tundu Lissu akishambuliwa na viashiria vyote vinamhusisha na shambulio hili baya. Huyu anahusishwa na Nape kutishiwa wakati akimchunguza na uvamizi wa Clouds ambayo ni tuhuma yenye ushahidi wa CCTV camera! Usimtetee muuaji POLE
Huu ndio upotoshaji halisi. Chama siyo BungeMiradi yote iko chini ya Chama cha Mapinduzi.
Hizo ni sera za CCM kuletea Watanzania maendeleo