Wewe huyu yupo kwenye list! Ni rahisi tu hebu muulize hili: Akina Diamond walienda kumlilia wakati Roma alipotekwa! Yeye akawaahidi kuwa wasiwe na wasiwasi angerudishwa kabla ya Jumamosi- Ikawa hivyo. Vile vile ilikuwa hivyo kwa Mo Dewji. Sasa Roma yuko US ametoa ushahidi kuwa Makonda r na utekaji wake. Yuko amepigwa Ban kukanyaga US na kupanda ndege za kimataifa! Huyu alikuwa Dodoma wakati Tundu Lissu akishambuliwa na viashiria vyote vinamhusisha na shambulio hili baya. Huyu anahusishwa na Nape kutishiwa wakati akimchunguza na uvamizi wa Clouds ambayo ni tuhuma yenye ushahidi wa CCTV camera! Usimtetee muuaji POLE
Ya "akutukanaye".....
Acha kuunganishaunganisha picha ili upate mtiririko uutakao.....
Makonda ni mwanasiasa kijana na alianza kuandamwa siku nyingi huko toka akiwa TAHLISO...
Jiwe la kumshambulia kuliko kukubwa LILISIMIKWA pale aliposimama kidete kuyaongelea machafu ya upigaji juu ya lile jengo letu la vijana UVCCM....
IKUMBUKWE ALIKUWA ANAPAMBANA NA WATU WALIOKUWA NYUMA YA MAGOGO WA UPIGAJI NCHINI HAPA.
HAYO YAKAPITA
CHUKI ikaendelea dhidi yake pale alipokuwa anasimama KISIASA na baadhi ya wale "mitume 12 wa BUNGE".......
Makonda AMEKUWA mhanga wa mashambulizi YANAYORATIBIWA VYEMA kutoka kwa wale watu wenye NGUVU zisizoeleweka.....
Nakukumbusha tu uwezo wa HAO WATU....
Mh.Mizengo Kayanza Peter Pinda alishawahi kulalamika bungeni kuwa
"majitu hayo Yana mitandao mipana yenye propaganda na udundumwizi mwingi,si majitu mepesi hata KIDOGO"
Sasa km waziri mkuu....mtendaji mkuu wa serikali...mtu ambaye anaijua nchi zaidi ya kijana mwenzetu makonda ANAYAPWAGA HAYO HADHARANI.....
Je akitokea kijana mkakamavu na jasiri wa kuyasema hayo,ATABAKI SALAMA?!!!
TUWENI WAKWELI JAMA...
Makonda anashambuliwa kukubwa na wengi ambao wamekodisha "wapiga miluzi ya CHUKI" wasio na IDADI....
Mnyonge mnyongeni,Haki yake mpeni.
THINK THRICE