Waberoya
Platinum Member
- Aug 3, 2008
- 15,168
- 10,810
Ni wapi nimejiita nina certificate.?
Unaonekana tu
Ya hoteli management au logistic
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni wapi nimejiita nina certificate.?
Kwani hiyo Miradi inasimamiwa na Serikali ya Chama gani? Hivi Upinzani wa Tanzania unaunda Serikali ya sasa? Swali lako ni la Kitoto sana na sikudhani kama ungeliuliza wakati lipo tu wazi na majibu yake yapo hadharani. Yaani umeshindwa tu hata kujua ya kwamba Chama Cha Mapinduzi ndicho Kinaunda Serikali Kuu hii iliyopo ya hawa Watendaji akina Mkuu wa Mkoa Makonda na kwamba yote haya unayomshangaa Mkuu wa Mkoa Makonda kuyafanya na hadi kuyazindua hivi ni sehemu ya Utekelezaji wa yale yaliyokuwa katika ILANI ya Chama Tawala ( CCM ) Ndugu? Umenishangaza mno!

Mi sina mashaka na mtazamo wangu juu yako, una uelewa mdogo mno kiasi kwamba sitarajii kitu kikubwa kutoka kwenye mchango wako... siwezi tu kukupuuza.
Na hata hapo ni kwamba umejitahidi sana, unastahili pongezi mno... tuko tofauti ila tunavumiliana.
Uko sahihi!
Nina certificate ya kuzaliwa tu.
Nakuombea pia kwenye hili... Nakuombea sanaKama ilivyo kwa Iran kutoa hati ya kukamtwa Trump na kuomba Interpol isaidie kwa kosa la kumuua mkuu wao wa operation za mafunzo ya kijeshi, waliyotoa wiki iliyopita.
Nami natoa hati ya kukamatwa kwa mkuu wa mkoa wa Dar Es Salaam, Paul Makonda kwa kosa la kufanya ziara ya ki-serikali akiwa amevalia mavazi ya kichama akiongozana na wana-CCM kwa kutumia gharama za serikali, huku akionekana kufanya zaidi siasa kuliko kufanya kazi ya umma, haya ni matumizi mabaya ya pesa za umma na naagiza akamatwe.
IGP Sirro, saidia hili.
Usiniulize mimi ni nani, mpaka niagize hivi? Kwani Iran amewazaje?
Ebooo 😎
😀😀Nakuombea pia kwenye hili... Nakuombea sana
Inayokusanya kodi ni CCM au Serikali?Miradi yote iko chini ya Chama cha Mapinduzi.
Kwa sasa unaweza kumshitakiNdugu zangu, au mimi tu sielewi hii kitu!
Nauliza ili nipate kujua, nimekuwa nikishangaa huu mkakati wa Paulo Makonda, RC Dar es Salaam. Sijawahi kuona kabla, pengine ni kwa vile sijui!
Kama hiyo haitoshi, anatumia nafasi hiyo kuwadhihaki watu na kuwananga ikiwa mbunge wa eneo la mradi hatokani na chama chake.
Pamoja na ukweli kuwa serikali iliyopo madarakani inatekeleza ilani ya chama chake, ni nini kinawapa umiliki namna hii?
Miradi ya maendeleo, miradi ya serikali, ni vipi inakabidhiwa kwa chama? Je, ni mali ya chama?
Maendeleo hayana vyama!
Wasalaam,
Ncha Kali.
Mnatafutwa mmemuua jiwe!WanaCCM watakabidhi kwa Wananchi