crankshaft
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,427
- 3,438
Wafanya maamuzi ni wa hovyo. Vitu kama hivi huwezi ona vinafanya pale madrid au barcelona.imeisha iyo.kujikwaa kwenye usajili huwa kupo.
Unampaje muda wakati umri umeshaenda yule, emu kuwa serious
Kwa haaland nadhani mkataba utakuwa uliwabana dortmund, vinginevyo wangemuuza kwa bei mbaya.Linganisha na bei ya Haaland... unaweza kunywa sumu