Ni kwanini Manchester United iliamua kumnunua Casemiro?

Ni kwanini Manchester United iliamua kumnunua Casemiro?

crankshaft

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2019
Posts
1,427
Reaction score
3,438
Ile pesa ilikuwa inatosha kununua bonge la kiungo wakutumika kwa muda mrefu na kuipa mafanikio timu.

Tumemnunua casemiro umri 31 halafu unampa mkataba wamiaka 6 akiwa miongoni mwa highly paid players ndani ya timu. Jamaa hana cha kupoteza pale. Kashashinda kila kitu labda Europa tu.

Dah kweli hii timu ina pesa za kuchezea aisee . ona sasa inachofanywa. so sad
 
imeisha iyo.kujikwaa kwenye usajili huwa kupo.
 
Sio kwamba anataka kuchukua Uropa?
 
Man U bure kabisa, wana miaka mitano au zaidi kuja kuwa na timu ya kuweza kuchukua ubingwa wa epl.
 
Back
Top Bottom