Ni Kwanini Mdude Nyagali hakamatwi na hachukuliwi Hatua Kali Kwa Kuendelea Kumchafua Rais Samia Bila Ushahidi?

Wewe Mwashambwa Iko hivi:Watu kama huyo uliyemtaja walikuwepo,wapo,Watakuwepo hadi kiama, Wewe chapa kazi simamia unachoamini na kutenda!
Kwa hiyo inachofanya yeye ndio kazi yake hiyo kudhalilisha na kutukana wengine? Kwani yeye yupo juu ya sheria?
 
Mbona una mawazo ya kijinga kiasi hiki? Umeandika ukiwa umeweka vitu gani kichwani mwako?
 
Mbona una mawazo ya kijinga kiasi hiki? Umeandika ukiwa umeweka vitu gani kichwani mwako?
Mawazo gani ni ya kijinga?

Unaelewa "Lese Majeste" ni nini?

Unaelewa muelekeo wa dunia ya wanasheria wasomi kuhusu Lese Majeste katika dunia ya leo ni upi?

Umesoma kitabu gani, makala gani, kuhusu sheria za Lese Majeste?
 
Embu acha kujishushia heshima hapa wewe mwenye mawazo kama mdude
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…