Ni Kwanini Mdude Nyagali hakamatwi na hachukuliwi Hatua Kali Kwa Kuendelea Kumchafua Rais Samia Bila Ushahidi?

Akamatwe mumeo kwanza maana anashindwa kukukaza vizuri kazi kutuletea upumbavu tu
 
mavi matupu
 
Embu acha kujishushia heshima hapa wewe mwenye mawazo kama mdude
Umejipa kazi ngumu sana, toka April 14, July 21, August 12 na leo September 19 unamuanzishia Mdude_Nyagali mada za kumsemelea kwa Polisi, na bado hujafanikiwa, najiuliza hivi Polisi huu ujinga unaouandika huwa hawauoni? Au wameuona na wameamua kukuouuza tu ? Sasa kama Polisi hawafuatilii kile unachokiandika kwanini unakuwa unatumia muda wako wa thamani kila siku kuandika mambo ya kujipendekeza sana kwa Binadamu mwenzako ? Fikia muda urekebishe hii hali huyo unayemuanzishia maandishi marefu kila siku hakujui na wala hata kama ana wasaidizi wake nao hawapo tayari kukupigia chapuo. Badirika Kijana bado miezi 13 tu. Huyo unayemwandikia ngonjera na mashairi kama ya Mfalme Juha atakuwa hayupo tena kwenye uongozi wa nchi hii.
Kwanza hebu jibu hoja za Kiranga acha kujifanya huelewi wakati unalazimisha kuwa Mlamba viatu wa watu wasio kuwa na mpango na wewe.
 
Wewe na wenzako kama sehem ya machawa kwani hamamatsu, ipo siku mnayoshangilia upande wa pili yatawafikia ni swala mda tu, japo visasi havitalipizwa
 
samia aliruhusu kukosoa but nowdays ukikosoa viongozi wananyooka na wewe
 
😂😂 student wa genta huyo,akili maji
 
umempa za uso
 
Wewe na wenzako kama sehem ya machawa kwani hamamatsu, ipo siku mnayoshangilia upande wa pili yatawafikia ni swala mda tu, japo visasi havitalipizwa
Acheni uropokaji wa kijinga jinga.kuweni na adabu katika uandishi wenu.
 
Lucas,
Nimesoma maoni yako kwenye Uzi wa mdude chadema na umesema wazi wazi MDUDE CHADEMA HANA AKILI NA AMECHANGANYIKIWA.

Niweke wazi kua mdude apuuzwe au asaidiwe apate kazi au apewe project asimamie Kama ni kilimo bashe amchukue au ufugaji.

Nyuzi Kama hizi zinaweza fanya mamlaka za SERIKALI zifanye kumshuhurikia.

Binafsi sipendezwi na lugha ngumu (matusi) ambazo amekua akitumia kuwa dhikaki watawala tangu JK,JPM, Sasa mama Samia

Kijana asaidiwe.
 
Nabubujikwa tu hapa kwa hekima zako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…