Ni Kwanini Mdude Nyagali hakamatwi na hachukuliwi Hatua Kali Kwa Kuendelea Kumchafua Rais Samia Bila Ushahidi?

Akamatwe kwanza ndio asaidiwe kumuweka sawa kiakili na kisaokolojia
 
Mkamate wewe na mamako original sio yule wa kudandia kutoka kizimkazi
 
Moyo wa unyama unakuwasha sana mkuu

Last two week mods walikuokoa kwa kufuta uzi uliouweka ukitaka SATIVA atekwe nankupotea na nduguze wasihangaike kumtafuta. Tukasema uzi ule uwe ushahidi wakakuokoa ukaondolewa


Leo kiu ya damu inakupa kiherehere unataka Mdude naye akamatwe. Tunajua unamaanisha nini kwenye hiyo aya uliyoweka hapo.

Ndugu.
Usidhani hao wanaoongea wanasema uongo. Dola imekuwa behind all this na unajiaminisha kuwa upo salama, wakishamalizana na sisi watakuja kwenu mliobeba siri zao
 
He's the way he is !! So focus on something else !!!
 
Tatizo ni kwamba Lucas unafikiria mambo kwa kutumia "masaburi' badala ya ubongo. Kipi kigeni alichoongea Mdude ambacho ni uongo? we mgeni hapa nchini?. Wakati Tundu Lissu anatoa taarifu kuwa kuna watu mabaya wanamfuatilia si mlisema uzushi? Baada ya hapo Lissu hakushambuliwa kwa risasi za moto? Acha ujinga katika issue zinazo husu uhai wa wengine. Unajikomba mpaka aibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…