Ni Kwanini Mdude Nyagali hakamatwi na hachukuliwi Hatua Kali Kwa Kuendelea Kumchafua Rais Samia Bila Ushahidi?

Viongozi wanaoingia madarakani kwa kupora chaguzi wana usafi gani? Kuingia madarakani kwa kuiba chaguzi ni ziadi y a hizo kauli za Mdude zinazokuliza hapa.
 
Ukiona umepaniki sana basi kunywa sumu UFE tu maana huna faida yoyote ile hata ukifa.
Kufa utatangulia wewe ,Mungu bado yupo na majukum na mimi na siku ikifika kufa ni wajibu

Kuna ujinga mwingi sana ,hasa nyie vijana wa ccm ,kijana wa ccm akisha kua na no ya mwenyekiti ,ccm mkoa, wilaya , akaongeza ya mwenyekiti uvcc taifa basi, basi huona yupo kwenye system tiyari , mfano wa vijana wa namna hii ni wewe.

Nyie machawa sikia ccm hatuko ila wapo ndugu na jamaa wenye sauti sio nyie makabwela ila tumechagua haki

Natukutanapo na dugu zetu hutuimarisha zaidi katika mapambano sio nyie machawa, daily kesha na kujiona mpo na umuhim sana ndani ya ccm,akili zero kabisa
 
Unaweza weka ushahidi wako wa kauli ,maneno,tuhuma na shutuma atoazo Mdude? Unaweza kumtuhumu mtu bila ushahidi? Mara ngapi mdude amekuwa akimtukana, kumdhalilisha,kumtweza ,kumchafua na kumvunjia heshima? Unaona ni sawa kwa afanyayo Mdude? Nasema tena kuwa hiyo haikubaliki na lazima ifike mwisho kwa mtu huyu kuwajibishwa ipasavyo.
 
Nenda kamkamate wewe unajiona unajua kuliko maboss wako wanaokufanya uende chooni.
 
Viongozi wa nchi zilizoendelea huwa wanapotezea tu walopokaji.
Walopokaji wanaweza kukuyumbisha kama utawae dekeza.
Kauli zinazo sikilizwa ni za viongozi wa juu ambao wana maadili ya uongozi.
Kama Mitume walikuwa wanasemwa vibaya Kiongozi utazuiaje kusemwa.
Mwambie Mama achape kazi kelele zipo tu.
 
Porojo zako hazina mashiko hata kidogo. Lazma ufahamu ya kuwa nchi hiii inaendeshwa kwa misingi ya sheria na katiba.hakuna sheria inayoruhusu mtu kudhalilisha wengine na kuwazushia uongo watu wengine
 
Anaweza akathibitisha kwa ushahidi tuhuma alizoziweka?
 
Mdude Nyagali alisema Samia ni fisadi na mla rushwa ; mnataka ushahidi gani zaidi ya mkataba wa Dp World na mwanae Abdul kutaka kutoa hongo kwa Tundu Lissu?
Mkitaka Samia asiambiwe dhambi zake aache kutenda hizo dhambi! Samia ana kula rushwa Ndio maana hata siku moja hawezi kukemea rushwa! She has no moral authority to do so!
 
Porojo zako hazina mashiko hata kidogo. Lazma ufahamu ya kuwa nchi hiii inaendeshwa kwa misingi ya sheria na katiba.hakuna sheria inayoruhusu mtu kudhalilisha wengine na kuwazushia uongo watu wengine
Nenda kamkamate sasa au wewe ni keyboard worrior unayetegemea polis huku ukiwa umeficha mkia matakoni kama mbwa Koko anayekimbizwa na jibwa.
 
Kama unajua atakamatwa na kuchukuliwa hatua kalu mbona unalalama kwamba kwanin hakamatwi? Tatizo lenu ujinga umewajaa Hadi maandishi yenu mnayasahau.
Mimi ni wewe ni nani mjinga? Huoni kuwa wewe ndiye mjinga?
 
Anamchafua rais?
 
Uropokaji wenu ni wakijinga sana .kwa sababu hakuna ushahidi mnaouweka katika zaidi ya kuropoka tu.
 
Uropokaji wenu ni wakijinga sana .kwa sababu hakuna ushahidi mnaouweka katika zaidi ya kuropoka tu.
Ushahidi ni huo mkataba wa Dp World, usingekuwa na viashiria vya rushwa asingeuficha!!
Kuhusu mtoto wake Abdul, mbona mko kimya baada ya Lissu kumsema hadharani? Sio Siri tena kuwa Abdul ndio dalali wa magendo ya mama yake!
 
Ushahidi no hip mkataba wa Dp World, usingekuwa na viashiria vya rushwa asingeuficha!!
Kuhusu mtoto wake Abdul, mbona mko kimya baada ya Lissu ki taka hadharani? Sio Siri tena kuwa Abdul ndio dalali wa mage do ya mama yake!
Nani asiyefahamu kuwa Lissu ni mropokaji Mkubwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…