Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #201
Kwanini Kibatala ndio msafisha jinai? Kwanini unakuwa mjinga kiasi hicho?Kwani ni mara ya kwanza kukamatwa? Mkamateni mtakutana na Kibatala mahakamani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini Kibatala ndio msafisha jinai? Kwanini unakuwa mjinga kiasi hicho?Kwani ni mara ya kwanza kukamatwa? Mkamateni mtakutana na Kibatala mahakamani.
Swali fikirishi aliye mharibu akili ni nani?, Kwa wale ambao hawajui akili ya binadamu inavyofanya kazi nikwamba akili ya binadamu huihifadhi kumbukumbu ya kila kitu tunacho kiona, kusikia na kufunza, (life learning skills) na kufundishwa, binadamu ukikutana na jambo fulani ama changamoto ubongo hutafsiri kumbukumbu ulizo zihifadhi kukabiliana na changamoto uliyona nayo na kama huna ulicho hifadhi huwezi kukabiliana na changamoto.Yule jamaa naona kichwa chake hakipo sawa.
Hujawahi kuona watu wanapata ukichaa na kuchanganyikiwa kabisa kutokana na matumizi makubwa ya Bangi?Swali fikirishi aliye mharibu akili ni nani?
Katiba ya ccm yenyewe hujui,Porojo zako hazina mashiko hata kidogo. Lazma ufahamu ya kuwa nchi hiii inaendeshwa kwa misingi ya sheria na katiba.hakuna sheria inayoruhusu mtu kudhalilisha wengine na kuwazushia uongo watu wengine
Nashangaa hivyo vi kesi vidogo vidogo wanavyopewa, sijui DPP na na DCI wanakwama wapi,, kama ya Boniphace Jackob, hiyo nayo ni kesi kweliNdugu zangu Watanzania,
Ikiwa tutaacha Taifa likajenga utamaduni wa watu wakatumia mitandao ya kijamii kuchafua viongozi wetu,kuwapaka matope, kuwadhalilisha, kuwatukana matusi bila kuchukuliwa hatua wala kukamatwa ili watoe ushahidi tutakuwa tunariharibu Taifa letu.tutakuwa tunaharibu maadili na utamaduni mzima wa kuheshimiana na kukosoana kwa staha.
Imeshakuwa kero sana kwetu wananchi kuona mara nyingi sana Mdude Nyagali akitumia mitandao ya kijamii kumtolea RAIS wetu lugha za matusi, kumdhalilisha ,pamoja na kumhusisha ,kumzushia tuhuma za uongo, uchonganishi na zenye lengo la kumchafua pasipo ushahidi wa aina yoyote ile.
Amekuwa akifanya hivyo mara nyingi sana.na kitendo cha kukaliwa kimya pasipo kuchukuliwa hatua za kukamatwa,kuhojiwa,kufikishwa mahakamani kumemfanya ajione yupo juu ya sheria,kujiona anaogopwa ,kujiona yeye anaweza kufanya lolote,kusema chochote, kumtukana yeyote, kumdhalilisha yeyote,kumvunjia heshima yeyote,kumzushia yeyote pasipo kuchukuliwa hatua wala kukamatwa wala kuhojiwa wala kukemewa.
Imefanya watu wabaki wanashangaa inakuwaje mtu huyu anayefanya kazi ya kumchafua Mheshimiwa Rais kila siku anaachwa bila kuchukuliwa hatua? Watu wanashangaa kwanini anafumbiwa macho muda wote? Wahusika mnasubiri mtu huyu aropoke au aseme nini au amchafue vipi na kwa kiasi gani Rais wetu ndipo mumchukulie Hatua? Je sheria zinatumika kwa baadhi ya watu na kufungwa pingu kwa wengine kutokutumika?
Kwanini hamumkamati na kumhoji ili atoe ushahidi wa tuhuma anazozitoa? Yeye ni nani katika Taifa hili? Hii haikubaliki wala kuvumilika kuona akimchafua Rais wetu Pasipo kuchukuliwa hatua kali za kisheria. ni lazima tufahamu ya kuwa hakuna uhuru usio na mipaka,hakuna uhuru au demokrasia kwa ajili ya kutukana , kudhalilisha,kuwashushia heshima wengine pamoja na kuwapaka matope wengine. Uhuru una kwenda sambamba na wajibu wa kuzingatia haki za watu wengine .
Soma Pia: Mdude Chadema: Hotuba ya Rais Samia jana ni hotuba mbovu zaidi kuwahi kutokea Tanzania
Huwezi ukawa unachafua watu wengine halafu ukasema ni demokrasia au uhuru.uhuru na demokrasia ina mipaka yake. Nawakumbusheni ya kuwa Mbali ya kuwa RAIS Samia ni Mama mwenye watoto, wajukuu lakini kubwa ni kuwa Ni Rais wetu ,ni kiongozi wetu tunaye muangalia na anayegusa Maisha yetu moja kwa moja. Kwa hiyo hatufurahishwi wala kupendezwa kuona Rais wetu akichafuliwa na mtu au kuzushiwa mambo yasiyo na ushahidi wa aina yoyote ile.hii haikubaliki hata kidogo.
Ni lazima tabia hii mbaya na chafu inayofanywa na watu aina ya Mdude Nyagali waliokosa adabu na staha tuipinge,kuikemea ,kuishambulia na kuikataa kabisa hapa Nchini.ni lazima tuseme tunataka uhuru na demokrasia lakini siyo uhuru wa kuwatusi na kuwachafua wengine bila ushahidi wa aina yoyote ile.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Unamuonea bure Lucas Mwashambwa sidhani kama anakuelewaMawazo gani ni ya kijinga?
Unaelewa "Lese Majeste" ni nini?
Unaelewa muelekeo wa dunia ya wanasheria wasomi kuhusu Lese Majeste katika dunia ya leo ni upi?
Umesoma kitabu gani, makala gani, kuhusu sheria za Lese Majeste?
We umejuaje ni uongo. Mbona unakuwa hakimu!Huoni kuwa ametoa tuhuma za uongo na uzushi pia ambazo ni jinai na amevunja pia sheria za kimtandao kwa kutoa taarifa za uongo?
😂😂😂😂😂Kichaa anapo mshangaa kichaa mwenzake
Kuna ushahidi wa aina yoyote ile ambao umeuona akiambatanisha?We umejuaje ni uongo. Mbona unakuwa hakimu!
Hakika ni Mungu tu anamlinda Mdude ndio maana yuko huru kueleza kwa uwazi hayo unayoyalalamikia. Miongoni mwa watu wengi wanaotukana kimoyomoyo, jasiri Mdude Nyagali yuko free ku express kilichopo moyoni mwake. Mungu wake anamlinda na hatakuja kupatwa na hayo unayoyataka.Kwamba Mungu amekosa kazi?
umekurupuka kama mlevi
Ndugu zangu Watanzania,
Ikiwa tutaacha Taifa likajenga utamaduni wa watu wakatumia mitandao ya kijamii kuchafua viongozi wetu,kuwapaka matope, kuwadhalilisha, kuwatukana matusi bila kuchukuliwa hatua wala kukamatwa ili watoe ushahidi tutakuwa tunariharibu Taifa letu.tutakuwa tunaharibu maadili na utamaduni mzima wa kuheshimiana na kukosoana kwa staha.
Imeshakuwa kero sana kwetu wananchi kuona mara nyingi sana Mdude Nyagali akitumia mitandao ya kijamii kumtolea RAIS wetu lugha za matusi, kumdhalilisha ,pamoja na kumhusisha ,kumzushia tuhuma za uongo, uchonganishi na zenye lengo la kumchafua pasipo ushahidi wa aina yoyote ile.
Amekuwa akifanya hivyo mara nyingi sana.na kitendo cha kukaliwa kimya pasipo kuchukuliwa hatua za kukamatwa,kuhojiwa,kufikishwa mahakamani kumemfanya ajione yupo juu ya sheria,kujiona anaogopwa ,kujiona yeye anaweza kufanya lolote,kusema chochote, kumtukana yeyote, kumdhalilisha yeyote,kumvunjia heshima yeyote,kumzushia yeyote pasipo kuchukuliwa hatua wala kukamatwa wala kuhojiwa wala kukemewa.
Imefanya watu wabaki wanashangaa inakuwaje mtu huyu anayefanya kazi ya kumchafua Mheshimiwa Rais kila siku anaachwa bila kuchukuliwa hatua? Watu wanashangaa kwanini anafumbiwa macho muda wote? Wahusika mnasubiri mtu huyu aropoke au aseme nini au amchafue vipi na kwa kiasi gani Rais wetu ndipo mumchukulie Hatua? Je sheria zinatumika kwa baadhi ya watu na kufungwa pingu kwa wengine kutokutumika?
Kwanini hamumkamati na kumhoji ili atoe ushahidi wa tuhuma anazozitoa? Yeye ni nani katika Taifa hili? Hii haikubaliki wala kuvumilika kuona akimchafua Rais wetu Pasipo kuchukuliwa hatua kali za kisheria. ni lazima tufahamu ya kuwa hakuna uhuru usio na mipaka,hakuna uhuru au demokrasia kwa ajili ya kutukana , kudhalilisha,kuwashushia heshima wengine pamoja na kuwapaka matope wengine. Uhuru una kwenda sambamba na wajibu wa kuzingatia haki za watu wengine .
Soma Pia: Mdude Chadema: Hotuba ya Rais Samia jana ni hotuba mbovu zaidi kuwahi kutokea Tanzania
Huwezi ukawa unachafua watu wengine halafu ukasema ni demokrasia au uhuru.uhuru na demokrasia ina mipaka yake. Nawakumbusheni ya kuwa Mbali ya kuwa RAIS Samia ni Mama mwenye watoto, wajukuu lakini kubwa ni kuwa Ni Rais wetu ,ni kiongozi wetu tunaye muangalia na anayegusa Maisha yetu moja kwa moja. Kwa hiyo hatufurahishwi wala kupendezwa kuona Rais wetu akichafuliwa na mtu au kuzushiwa mambo yasiyo na ushahidi wa aina yoyote ile.hii haikubaliki hata kidogo.
Ni lazima tabia hii mbaya na chafu inayofanywa na watu aina ya Mdude Nyagali waliokosa adabu na staha tuipinge,kuikemea ,kuishambulia na kuikataa kabisa hapa Nchini.ni lazima tuseme tunataka uhuru na demokrasia lakini siyo uhuru wa kuwatusi na kuwachafua wengine bila ushahidi wa aina yoyote ile.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Tangia lini matusi yakawa ndio ukweli.Yah right ..... Hawamkamati kwa vile wanajua anasema UKWELI ....!!
Kutoweka ushahidi, usihukumu kuwa ni mwongoKuna ushahidi wa aina yoyote ile ambao umeuona akiambatanisha?
Utaaje unafanyakazi wakati wote kuropoka ropoka tu bila ushahidiKutoweka ushahidi, usihukumu kuwa ni mwongo
wangekuwa wanashitakiwa na kuhukumiwa kisheria ila kuwapeleka ahera madukani sio sawaNi lazima kwa sasa wajinga wajinga washikishwe adabu vizuri.
Atashitakiwa mahakamani kwa mujibu wa sheriawangekuwa wanashitakiwa na kuhukumiwa kisheria ila kuwapeleka ahera madukani sio sawa
kama hivo ni sawa maana sikuku hizi hamchekewagiAtashitakiwa mahakamani kwa mujibu wa sheria
Kwa kifungu gani cha katibaHakuna uhuru wa kutukana matusi watu na kuwazushia uongo na uchonganishi