Ni kwanini mwanaume anapozidi kuwa mtu mzima busara na hekima huongezeka na vise vesa......?

Ni kwanini mwanaume anapozidi kuwa mtu mzima busara na hekima huongezeka na vise vesa......?

leo nimekutana na mwanamke mtu mzima zaidi 54years anashangilia watu wakamatwe wanapokwenda kwenye lodges na bar kwa kigezo cha ukaguzi wa namba za nida..imenibidi nimuulize unahisi wote wanaokwenda kulala lodges ni waharifu? kakosa jibu,
 
Ww unaweza kwenda kwa yule mama zanzibar kuomba ushauri?
 
Back
Top Bottom