Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 6,788
- 16,227
MKuu, unataka kutuambia tumruhusu Raisi Samia agombee awamu ya tatu?Hata ukihitaji ushauri mtafute mzee mtu mzima zaidi, lakini mwanamke mtu mzima zaidi utaambulia pumba na mashudu...
Maana yake amesha kwepa mishale kama yoteHata ukihitaji ushauri mtafute mzee mtu mzima zaidi, lakini mwanamke mtu mzima zaidi utaambulia pumba na mashudu...