Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,217
- 3,694
Mara nyingi USA na NATO wamekuwa wakilalamika kuhusu hili kundi la Wagner Group ambalo linasemekana chimbuko lake urusi limekuwa likiwanyima usingizi.
sasa hivi taarifa kutoka kwenye taasisi za kijajusi zinasemekana hili kundi ambalo lipo ukraine wamepewa kazi ya kuhakikisha wanamkamata na kumteka raisi wa Ukraine kisha kumpelelaka Urusi akiwa hai.
Je, Wagner group ni kundi gani hilo na ni kwanini wamekuwa tishio nchi za Magharibi?