Ni kwanini NATO na USA wanaliogopa kundi la Wagner Group kutokea Urusi

Ni kwanini NATO na USA wanaliogopa kundi la Wagner Group kutokea Urusi

Bro una akili ndogo sana kuhusu mambo ya ulimwwngu na shida in kua unaangalia CNN na BBC sana maana izi ni propaganda machine za NATO na washirika wao ikiwemo FIFA.
Ngoja tukutoe gizani kidogo
Mwaka 1992 NATO iliivamia Serbia na kuua raia wa kutosha uko Kosovo kwa undani zaid soma kuhusu hyo issue vzr
Marekani iliivamia Iraq in 2002 km sikosei na ilifanya ivyo na akupewa ruhusa na yeyoye yule na akuna aliesema.
VP ufaransa Libya ilikuaje?
Usiwe kibebendera kufuata upepo ukawa km FIFA na FA wanaoitesa Chelsie kisa ibromovich na viwanjani Ukraine Ukraine wakati mchezaji aliwai kuonyesha vulana LA kupinga kinachoendelea upalestina wakamfungia wakisema Mpira auingiliani na siasa sasa kuifungia Chelsie kusajili kisa vita Ukraine wapi na wapi km sio FIFA nae ni agent wa nato na washirika wake.
Conclusion
Dunia imegawanyika tangu zaman ukiwa upande wowote unakosea kwahyo jitahid kusoma mambo mwenyewe sio kufuata wasemacho wazungu ukiangalia BBC angalia na RT pia then kaa chini fikiria.
Mrusi akiamua ata kesho anaimaliza Ukraine sema ataki kutumia kifaru kuua sisimizi
Akili ndogo izi ndio alizokuanazo comedian yule kwamba kikiwaka USA na NATO watakuja kumpiga tafu kumbe alikua anazungukwa akili na mwisho inaumia nchi yao nato wanapuliza fegi Poland kimyaa wanakula watoto wazur dada zake na lewandowoslky
Waizunguka Ukraine alaf watakua akuna msaada wanapata then wanajifia wenyewe kwenye majiji yao umo hyo ndio technic ya rusia.
Na km uamin uwepo wa hao Wagner group basi jiulize kwann ufaransa wamefukuzwa Mali
Kwa kifupi Putin anarudisha USSR na influence ya Russia in Africa ndio maana kuna mfululizo wa mapinduz Kule west pitia na car kaone wanavyotrain jeshi na urusi.
Mark my word "China anaitaka Taiwan" tutakuja kuongelea cku nyingine
Naomba kuwasilisha.
Kweli wewe uzolelanga kwa hiyo haya yote yanafanyika Big Brothers wamekaa tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
NATO imewachukua miaka 20 kuanzia 2001 hadi 2021 kuisambaratisha Taleban lakin mwishowe Afghan haipoi wamekimbia…hapo NATO yenye nchi thelathini sio Marekani pekee
Hakuna kundi kama hilo, hizo ni hadithi tu za kijiweni, leo ni wiki tatu zimeisha wameshindwa kukamata hata mji moja wa maana ni kuharibu tu miundombinu na kuua raia.

Jeshi la Russia sio kama ilivyokuwa inadhaniwa, swagger ndio nyingi lakini combat capabilities hamna kitu.
 
Una akili ndogo sana bro, hutakiwi kuwa hapa JF. Kuteka nchi sio suala la dakika kadhaa. Ni mktakati (strategy)
 
Una akili ndogo sana bro, hutakiwi kuwa hapa JF. Kuteka nchi sio suala la dakika kadhaa. Ni mktakati (strategy)
Wewe ndiye unajua ni mkakati Putin hajui hilo hadi ameshafukuza majenerali wanane labda umueleweshe kupitia telegram.
 
NATO imewachukua miaka 20 kuanzia 2001 hadi 2021 kuisambaratisha Taleban lakin mwishowe Afghan haipoi wamekimbia…hapo NATO yenye nchi thelathini sio Marekani pekee
Mumebadili gia angani. 🤣🤣🤣
 
NATO imewachukua miaka 20 kuanzia 2001 hadi 2021 kuisambaratisha Taleban lakin mwishowe Afghan haipoi wamekimbia…hapo NATO yenye nchi thelathini sio Marekani pekee
Nato washindwe kukimbia mwanzo wa uvamizi waje wakimbie 20 yrs later..?hata hujiulizi kwa akili yako ndogo..marekani kaondoka baada ya kuona hana maslahi tena hapo..au maslahi yake yamelindwa na wahuni wote amewafyeka..hao wote talibani ni puppets wake..hawana uwezo wa kushindana tena na mmarekani...kawaachia wajiongozi huku rimoti ikitokea pentagon.
Au umesahau walianza kulialia hawana hela ya kuendesha nchi ndio wakaenda kumpigia magoti usa awapatie hela.

#MaendeleoHayanaChama
 
Mie akili yangu ndogo ila Wewe akili yako kubwa ila umesahau kuwa Mabunge yote mawili ya Marekani yameshinikiza majeshi yarudi Home, kurudishwa majeshi nyumbani kilikuwa kilio cha Raia na ndio sababu ikawa agenda kuu ya uchaguzi

Unasema waliobaki wote ni Vibaraka wa Marekani…Marekani huwa inawawekea Vibaraka wao zuio la kutotambuliwa UN, kutopewa fursa ya kuchukua fedha zao zilizopo ng'ambo?

Pengine akili yako kubwa sana ndio sababu hujui au hufuatilii mijadala na mashinikizo yaliyokuwa yanaendelea ndani ya NATO.

Afghan ni wale Jamii ya Viumbe wabishi Duniani…USSR achana na hii Russia ya Putin ile yenyewe yenyewe ya masoshalist waliingiza miguu pale kazi ikawa namna ya kuchomoka na kurudi home na wakarudi…

Najua Wamarekani mliopo Malamba mawili huwa hamkubali kuwa kuna sehemu Marekani huwa inanyoosha Miguu

Nakukumbusha sio mara ya kwanza US kukimbia vita…Somali, Vietnam pia walichimba
Nato washindwe kukimbia mwanzo wa uvamizi waje wakimbie 20 yrs later..?hata hujiulizi kwa akili yako ndogo..marekani kaondoka baada ya kuona hana maslahi tena hapo..au maslahi yake yamelindwa na wahuni wote amewafyeka..hao wote talibani ni puppets wake..hawana uwezo wa kushindana tena na mmarekani...kawaachia wajiongozi huku rimoti ikitokea pentagon.
Au umesahau walianza kulialia hawana hela ya kuendesha nchi ndio wakaenda kumpigia magoti usa awapatie hela.

#MaendeleoHayanaChama
 
Hakuna kundi kama hilo, hizo ni hadithi tu za kijiweni, leo ni wiki tatu zimeisha wameshindwa kukamata hata mji moja wa maana ni kuharibu tu miundombinu na kuua raia.

Jeshi la Russia sio kama ilivyokuwa inadhaniwa, swagger ndio nyingi lakini combat capabilities hamna kitu.
Kwani wapi walisema wanataka kukamata miji mikuu?
 
Hivi mbona hamtumii akili? Urusi ana nyuklia za kuangamiza ukrain dakika moja ispokuwa anawahurumia raia ndo maana anatumia silaha na vita vya kikawaida, hujiulizi usa na nato hawaingii kwanini km sio silaha alizo nazo zamaangamizi
Changamoto zenu mnadhani akitumia nuclear kuipiga Ukraine ataumia Ukraine tu mnasahau kwamba nuclear inapenetrate mpaka kwenye vyanzo vya maji wanayoyatumia Warussia pia. Na kingine, ile hewa inayozalishwa na nuclear inasafiri kwa kasi ya kilometa 300 kwa saa. Do you think Moscow will be spared? Sometimes msifikiri ni Ukraine tu ataumia tu. The whole of Europe will suffer, Russia and Ukraine included.
 
Huijui Russia wewe, Russia wanapopigana vita waga hawajui cha raia, wao wahanga wao wa kwanza waga ni raia halafu jeshi baadaye.

Angalia kwenye vita vyao popote kuanzia kule Afghanistan, Chechnya, Georgia, Syria na sasa Ukraine. Wewe unafahamu wakati wanalazimisha mfumo wa kikomunisti waliua raia wao wangapi, wewe hayo hujui kwa sababu hupendi kusoma ila ni kukariri tu hata raia waliowaua kwenye vita vya pili vya dunia hujui.

Wewe endeleza tu ushabik hakuna unachokifahamu kwenye maswala haya.
Kweli mkuu ko unataka kutwambia raia wengi wameuawa kuliko wanajeshi
 
Major General Vitaly Gerasimov did not deserve a magnificent funeral. Screwed up and shamefully disappeared near Kharkov on 07/03/22. And everything is like this: Not a war, but a special operation, not genocide, but denazification. And even some kind of hybrid funeral. Because #losing

Daaah CNN mbaya sana na BBC ndio kabisa subirini time will tell maana NATO na America wanaogopa kuweka tako lao Ukraine sasa endeleeni ivyo ivyo mwisho mtapata majibu.
 
Back
Top Bottom