Ni kwanini NATO na USA wanaliogopa kundi la Wagner Group kutokea Urusi

Sasa wanatafuta nini kwenye hiyo miji basi maanake ndiko waliko poteza maelfu ya maaskari wao pamoja na zana.
Hizo ni propaganda za media za Magharibi tu. Kwa sasa Ukraine anakula kichapo cha mmbwa koko.
 
Hakuna kundi kama hilo, hizo ni hadithi tu za kijiweni, leo ni wiki tatu zimeisha wameshindwa kukamata hata mji moja wa maana ni kuharibu tu miundombinu na kuua raia.

Jeshi la Russia sio kama ilivyokuwa inadhaniwa, swagger ndio nyingi lakini combat capabilities hamna kitu.

Khakiv na Crimea ni mijibya Baba ako ??
 
Hizo ni propaganda za media za Magharibi tu. Kwa sasa Ukraine anakula kichapo cha mmbwa koko.
Hao ambao hawana propaganda wao wanasema Russia ameshateka Kyiv hadi Putin amepiga marufuku habari za vita zisiandikwe, unafikiri ni mchezo.
 
Kwa anvyolialia Raisi wa Ukraine na kuwapigia magoti Nato na US. Mi naamini Ukraine anahali mbaya sana, maana sasa Zlensky ameshachanganyikiwa haongei tena kama Raisi anapayuka tu.
 
Kharkiv hawajateka acha uongo wamekatalia tu kwenye viunga. Crimea wewe naona hata hujui habari yake.

Nipe hiyo Habari ambayo mie siijui. Huenda wewe unafuatilia Propaganda za magharibi zinazosambazwa na BBC
Kama huamini fuatikia hii habari …!
IMG_3748.jpg
 
Hakuna kundi kama hilo, hizo ni hadithi tu za kijiweni, leo ni wiki tatu zimeisha wameshindwa kukamata hata mji moja wa maana ni kuharibu tu miundombinu na kuua raia.

Jeshi la Russia sio kama ilivyokuwa inadhaniwa, swagger ndio nyingi lakini combat capabilities hamna kitu.
Bado tu unasemaga hakuna kundi kama hilo?
 
sasa hivi taarifa kutoka kwenye taasisi za kijajusi zinasemekana hili kundi ambalo lipo ukraine wamepewa kazi ya kuhakikisha wanamkamata na kumteka raisi wa Ukraine kisha kumpelelaka Urusi akiwa hai.
Ni kweli walipewa hii kazi ?
 
Hakuna kundi kama hilo, hizo ni hadithi tu za kijiweni, leo ni wiki tatu zimeisha wameshindwa kukamata hata mji moja wa maana ni kuharibu tu miundombinu na kuua raia.

Jeshi la Russia sio kama ilivyokuwa inadhaniwa, swagger ndio nyingi lakini combat capabilities hamna kitu.
Naam! Haya ni majibu ya LGBTQ baada ya kupigwa mashine
 
Hakuna kundi kama hilo, hizo ni hadithi tu za kijiweni, leo ni wiki tatu zimeisha wameshindwa kukamata hata mji moja wa maana ni kuharibu tu miundombinu na kuua raia.

Jeshi la Russia sio kama ilivyokuwa inadhaniwa, swagger ndio nyingi lakini combat capabilities hamna kitu.
Wamebana wanaachia, kumbe halipo
Screenshot_20230122-203133_Sputnik.jpg
Screenshot_20230122-203120_Sputnik.jpg
 
Back
Top Bottom