Ni kwanini NATO na USA wanaliogopa kundi la Wagner Group kutokea Urusi

Mara nyingi USA na NATO wamekuwa wakilalamika kuhusu hili kundi la Wagner Group ambalo linasemekana chimbuko lake urusi limekuwa likiwanyima usingizi.

sasa hivi taarifa kutoka kwenye taasisi za kijajusi zinasemekana hili kundi ambalo lipo ukraine wamepewa kazi ya kuhakikisha wanamkamata na kumteka raisi wa Ukraine kisha kumpelelaka Urusi akiwa hai.

Je, Wagner group ni kundi gani hilo na ni kwanini wamekuwa tishio nchi za Magharibi?
First grade commandos
 
Hivi mbona hamtumii akili? Urusi ana nyuklia za kuangamiza ukrain dakika moja ispokuwa anawahurumia raia ndo maana anatumia silaha na vita vya kikawaida, hujiulizi usa na nato hawaingii kwanini km sio silaha alizo nazo zamaangamizi
Hizo silaa za nyuklia akitumia dunia itamuacha kuna nchi nyingine zina nyuklia zimekaa tuu zimetulia.
 
Hivi mbona hamtumii akili? Urusi ana nyuklia za kuangamiza ukrain dakika moja ispokuwa anawahurumia raia ndo maana anatumia silaha na vita vya kikawaida, hujiulizi usa na nato hawaingii kwanini km sio silaha alizo nazo zamaangamizi
Kwanza unazijua nuclear states. ?

Alafu nuclear weapons sio kama maandazi. Kwa taarifa yako kuna sheria zinalinda hayo matumizi na nchi nyingi zinakua nazo kama insurance policy dhidi ya nchi nyingine.
 
akili zingine za ajabu,kwa hiyo kwenda kuteka nchi,unaenda tu unakuwa umeiteka,labda tumpe mfano marekani kama ilimchukua wiki moja,kuteka iraq,au syria kafanikiwa kuiteka..
Akili mtu wangu
FB_IMG_1647357872498.jpg
 
Bro una akili ndogo sana kuhusu mambo ya ulimwwngu na shida in kua unaangalia CNN na BBC sana maana izi ni propaganda machine za NATO na washirika wao ikiwemo FIFA.
Ngoja tukutoe gizani kidogo
Mwaka 1992 NATO iliivamia Serbia na kuua raia wa kutosha uko Kosovo kwa undani zaid soma kuhusu hyo issue vzr
Marekani iliivamia Iraq in 2002 km sikosei na ilifanya ivyo na akupewa ruhusa na yeyoye yule na akuna aliesema.
VP ufaransa Libya ilikuaje?
Usiwe kibebendera kufuata upepo ukawa km FIFA na FA wanaoitesa Chelsie kisa ibromovich na viwanjani Ukraine Ukraine wakati mchezaji aliwai kuonyesha vulana LA kupinga kinachoendelea upalestina wakamfungia wakisema Mpira auingiliani na siasa sasa kuifungia Chelsie kusajili kisa vita Ukraine wapi na wapi km sio FIFA nae ni agent wa nato na washirika wake.
Conclusion
Dunia imegawanyika tangu zaman ukiwa upande wowote unakosea kwahyo jitahid kusoma mambo mwenyewe sio kufuata wasemacho wazungu ukiangalia BBC angalia na RT pia then kaa chini fikiria.
Mrusi akiamua ata kesho anaimaliza Ukraine sema ataki kutumia kifaru kuua sisimizi
Akili ndogo izi ndio alizokuanazo comedian yule kwamba kikiwaka USA na NATO watakuja kumpiga tafu kumbe alikua anazungukwa akili na mwisho inaumia nchi yao nato wanapuliza fegi Poland kimyaa wanakula watoto wazur dada zake na lewandowoslky
Waizunguka Ukraine alaf watakua akuna msaada wanapata then wanajifia wenyewe kwenye majiji yao umo hyo ndio technic ya rusia.
Na km uamin uwepo wa hao Wagner group basi jiulize kwann ufaransa wamefukuzwa Mali
Kwa kifupi Putin anarudisha USSR na influence ya Russia in Africa ndio maana kuna mfululizo wa mapinduz Kule west pitia na car kaone wanavyotrain jeshi na urusi.
Mark my word "China anaitaka Taiwan" tutakuja kuongelea cku nyingine
Naomba kuwasilisha.
 
Tutajie miji mitano ya maana ambayo ilitakiwa mrusi aichukue [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848] waswahil kweli akili zetu size ya vijora [emoji706]
1. Kyiv
2. Mariupol
3. Kharkiv
4. Lyiv
5. Odessa

Wameteka upi kati ya hiyo. Russia = Cannon Fodder.
 
Bro una akili ndogo sana kuhusu mambo ya ulimwwngu na shida in kua unaangalia CNN na BBC sana maana izi ni propaganda machine za NATO na washirika wao ikiwemo FIFA.
Ngoja tukutoe gizani kidogo
Mwaka 1992 NATO iliivamia Serbia na kuua raia wa kutosha uko Kosovo kwa undani zaid soma kuhusu hyo issue vzr
Marekani iliivamia Iraq in 2002 km sikosei na ilifanya ivyo na akupewa ruhusa na yeyoye yule na akuna aliesema.
VP ufaransa Libya ilikuaje?
Usiwe kibebendera kufuata upepo ukawa km FIFA na FA wanaoitesa Chelsie kisa ibromovich na viwanjani Ukraine Ukraine wakati mchezaji aliwai kuonyesha vulana LA kupinga kinachoendelea upalestina wakamfungia wakisema Mpira auingiliani na siasa sasa kuifungia Chelsie kusajili kisa vita Ukraine wapi na wapi km sio FIFA nae ni agent wa nato na washirika wake.
Conclusion
Dunia imegawanyika tangu zaman ukiwa upande wowote unakosea kwahyo jitahid kusoma mambo mwenyewe sio kufuata wasemacho wazungu ukiangalia BBC angalia na RT pia then kaa chini fikiria.
Mrusi akiamua ata kesho anaimaliza Ukraine sema ataki kutumia kifaru kuua sisimizi
Akili ndogo izi ndio alizokuanazo comedian yule kwamba kikiwaka USA na NATO watakuja kumpiga tafu kumbe alikua anazungukwa akili na mwisho inaumia nchi yao nato wanapuliza fegi Poland kimyaa wanakula watoto wazur dada zake na lewandowoslky
Waizunguka Ukraine alaf watakua akuna msaada wanapata then wanajifia wenyewe kwenye majiji yao umo hyo ndio technic ya rusia.
Na km uamin uwepo wa hao Wagner group basi jiulize kwann ufaransa wamefukuzwa Mali
Kwa kifupi Putin anarudisha USSR na influence ya Russia in Africa ndio maana kuna mfululizo wa mapinduz Kule west pitia na car kaone wanavyotrain jeshi na urusi.
Mark my word "China anaitaka Taiwan" tutakuja kuongelea cku nyingine
Naomba kuwasilisha.
Wewe acha upotoshaji, Iraq ilivamiwa na mataifa 27 kufuatia azimio namba 678 la tarehe 29/11/1990 la baraza la usalama la umoja wa mataifa kufuatia Iraq kuivamia Kuwait.

Pia baraza la usalama la umoja wa mataifa kupitia azimio namba 1973 la mwaka 2011, liliidhinisha Nato kuivamia Libya na kuiwekea nchi hiyo marufuku ya kurusha ndege (A No Fly Zone) ili kuokoa raia kutokana na mashambulizi ya ndege kutoka kwa askari wa Gadaffi.

Hivyo unaposema kwamba mataifa hayo yalivamiwa bila idhini ya umoja wa mataifa basi hiyo sio kweli, ni upotoshaji wa makusudi kabisa.

Kuhusu Russia/Ukraine, ukweli ni kwamba jeshi la Russia lilikuwa overated na kama Ukraine nayo ingekuwa na air power vita vingeisha ndani ya siku tatu tu kwani Urusi ilikuwa ni ile USSR ya akina Lionid Brezhnev, Constantine Chernenkho na Yuri Andropov lakini sio hii ya huyu tapeli Putin ambayo ni chui tu wa karatasi.

USSR ndio hivyo tena akina Reagan na Thatcher waliishaimaliza na haitakaa irudi tena na huyu Putin ndio mwisho wake hawawezi kumkubalia agombee tena urais 2024 kwani baada ya huu mkasa atakuwa ni A Spent Force.
 
Hakuna kundi kama hilo, hizo ni hadithi tu za kijiweni, leo ni wiki tatu zimeisha wameshindwa kukamata hata mji moja wa maana ni kuharibu tu miundombinu na kuua raia.

Jeshi la Russia sio kama ilivyokuwa inadhaniwa, swagger ndio nyingi lakini combat capabilities hamna kitu.

Una uhakika raia wanauawa? Au unakusudia raia wanaotumiwa kama ngao wakivaa sare za jeshi!! Sindiyo? Wakiuawa mnasema raia 😁
 
Wewe acha upotoshaji, Iraq ilivamiwa na mataifa 27 kufuatia azimio namba 678 la tarehe 29/11/1990 la baraza la usalama la umoja wa mataifa kufuatia Iraq kuivamia Kuwait.

Pia baraza la usalama la umoja wa mataifa kupitia azimio namba 1973 la mwaka 2011, liliidhinisha Nato kuivamia Libya na kuiwekea nchi hiyo marufuku ya kurusha ndege (A No Fly Zone) ili kuokoa raia kutokana na mashambulizi ya ndege kutoka kwa askari wa Gadaffi.

Hivyo unaposema kwamba mataifa hayo yalivamiwa bila idhini ya umoja wa mataifa basi hiyo sio kweli, ni upotoshaji wa makusudi kabisa.

Kuhusu Russia/Ukraine, ukweli ni kwamba jeshi la Russia lilikuwa overated na kama Ukraine nayo ingekuwa na air power vita vingeisha ndani ya siku tatu tu kwani Urusi ilikuwa ni ile USSR ya akina Lionid Brezhnev, Constantine Chernenkho na Yuri Andropov lakini sio hii ya huyu tapeli Putin ambayo ni chui tu wa karatasi.

USSR ndio hivyo tena akina Reagan na Thatcher waliishaimaliza na haitakaa irudi tena na huyu Putin ndio mwisho wake hawawezi kumkubalia agombee tena urais 2024 kwani baada ya huu mkasa atakuwa ni A Spent Force.

Urusi kama angeliamua kurusha makombora yake hovyo au kuvamia na kuuwa watu waco na hatia kama ambavyo marekani na washirika wake walivyofanya unyama nchi za kiarabu na baadhi ya viongozi kuuawa, unadhani vita hii ingechukua hata cku 3!!!!
 
Wewe acha upotoshaji, Iraq ilivamiwa na mataifa 27 kufuatia azimio namba 678 la tarehe 29/11/1990 la baraza la usalama la umoja wa mataifa kufuatia Iraq kuivamia Kuwait.

Pia baraza la usalama la umoja wa mataifa kupitia azimio namba 1973 la mwaka 2011, liliidhinisha Nato kuivamia Libya na kuiwekea nchi hiyo marufuku ya kurusha ndege (A No Fly Zone) ili kuokoa raia kutokana na mashambulizi ya ndege kutoka kwa askari wa Gadaffi.

Hivyo unaposema kwamba mataifa hayo yalivamiwa bila idhini ya umoja wa mataifa basi hiyo sio kweli, ni upotoshaji wa makusudi kabisa.

Kuhusu Russia/Ukraine, ukweli ni kwamba jeshi la Russia lilikuwa overated na kama Ukraine nayo ingekuwa na air power vita vingeisha ndani ya siku tatu tu kwani Urusi ilikuwa ni ile USSR ya akina Lionid Brezhnev, Constantine Chernenkho na Yuri Andropov lakini sio hii ya huyu tapeli Putin ambayo ni chui tu wa karatasi.

USSR ndio hivyo tena akina Reagan na Thatcher waliishaimaliza na haitakaa irudi tena na huyu Putin ndio mwisho wake hawawezi kumkubalia agombee tena urais 2024 kwani baada ya huu mkasa atakuwa ni A Spent Force.
Aisee wewe brainwashed wa kimagharibi
 
Urusi kama angeliamua kurusha makombora yake hovyo au kuvamia na kuuwa watu waco na hatia kama nchi za kiarabu zilivyofanyiwa unyama na nchi za magharibi unadhani vita hii ingechukua hata cku 3!!!!
Urusi ndio anarusha makombora na mabomu hovyo ona leo amerusha kwenye kituo cha treni jijini Kyiv hadi kuna raia wameuwawa pale hadi kwenye mahospitali, mashule na kwenye magereji..!!
 
Wewe acha upotoshaji, Iraq ilivamiwa na mataifa 27 kufuatia azimio namba 678 la tarehe 29/11/1990 la baraza la usalama la umoja wa mataifa kufuatia Iraq kuivamia Kuwait.

Pia baraza la usalama la umoja wa mataifa kupitia azimio namba 1973 la mwaka 2011, liliidhinisha Nato kuivamia Libya na kuiwekea nchi hiyo marufuku ya kurusha ndege (A No Fly Zone) ili kuokoa raia kutokana na mashambulizi ya ndege kutoka kwa askari wa Gadaffi.

Hivyo unaposema kwamba mataifa hayo yalivamiwa bila idhini ya umoja wa mataifa basi hiyo sio kweli, ni upotoshaji wa makusudi kabisa.

Kuhusu Russia/Ukraine, ukweli ni kwamba jeshi la Russia lilikuwa overated na kama Ukraine nayo ingekuwa na air power vita vingeisha ndani ya siku tatu tu kwani Urusi ilikuwa ni ile USSR ya akina Lionid Brezhnev, Constantine Chernenkho na Yuri Andropov lakini sio hii ya huyu tapeli Putin ambayo ni chui tu wa karatasi.

USSR ndio hivyo tena akina Reagan na Thatcher waliishaimaliza na haitakaa irudi tena na huyu Putin ndio mwisho wake hawawezi kumkubalia agombee tena urais 2024 kwani baada ya huu mkasa atakuwa ni A Spent Force.
Kweli wewe imeloa, sasa unaanza utabiri wa 2024? Well !! Hapo Ukraine wanapokea misaada ya kivita kutoka nchi ngapi? Mercenaries kutoka nchi ngapi? Vikwazo kutoka nchi ngapi? Hujiulizi?

Vita ni hesabu, sasa leo USA ametangaza kuwapatia dhana za kivita zilizo bora zaidi Ukraine, sasa tusubiri tuone.

Nb; mambo ya yule rais kulia lia kua ametengwa sijui nataka no fly zone tusiyasikie.. mmesema anaweza. Tusubiri.
 
Hivi mbona hamtumii akili? Urusi ana nyuklia za kuangamiza ukrain dakika moja ispokuwa anawahurumia raia ndo maana anatumia silaha na vita vya kikawaida, hujiulizi usa na nato hawaingii kwanini km sio silaha alizo nazo zamaangamizi
Kulikuwa na haja gani ya kuropoka kuwa vita ataimaliza kwa siku tatu?jaribu kuifanya flexible shingo yako isiwe kama umelalia upande mmoja.
 
Back
Top Bottom