Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,217
- 3,694
akili zingine za ajabu,kwa hiyo kwenda kuteka nchi,unaenda tu unakuwa umeiteka,labda tumpe mfano marekani kama ilimchukua wiki moja,kuteka iraq,au syria kafanikiwa kuiteka..Hakuna kundi kama hilo, hizo ni hadithi tu za kijiweni, leo ni wiki tatu zimeisha wameshindwa kukamata hata mji moja wa maana ni kuharibu tu miundombinu na kuua raia.
Jeshi la Russia sio kama ilivyokuwa inadhaniwa, swagger ndio nyingi lakini combat capabilities hamna kitu.
Wagner ni mamluki, Mamluki kwa jumla ni hatari kwa amani. Kama ni mamluki wa Urusi au wa Marekani. Maana wanatumwa pale ambako nchi haitaki kwenda rasmi. Maana serikali itawajibika kwa jinai. Kama mamluki wanaua hovyo, basi unafunga kampuni, unabadilisha jina na sare na kuwanzisha tena kwa jina tofauti.Mara nyingi USA na NATO wamekuwa wakilalamika kuhusu hili kundi la wagner group ambalo linasemekana chimbuko lake urusi limekuwa likiwanyima usingizi
sasa hivi taarifa kutoka kwenye taasisi za kijajusi zinasemekana hili kundi ambalo lipo ukraine wamepewa kazi ya kuhakikisha wanamkamata na kumteka raisi wa ukraine kisha kumpelelaka urusi akiwa haiii
je wagner group ni kundi gani hilo na ni kwanini wamekuwa tishio nchi za magharibi
Mkuu nafikiri Vita sio sawa na kucheza gemuHakuna kundi kama hilo, hizo ni hadithi tu za kijiweni, leo ni wiki tatu zimeisha wameshindwa kukamata hata mji moja wa maana ni kuharibu tu miundombinu na kuua raia.
Jeshi la Russia sio kama ilivyokuwa inadhaniwa, swagger ndio nyingi lakini combat capabilities hamna kitu.
Hilo kundi lipo mkuu ni mamluki hao wa Russia ndio wamepigana syria wamepelekwa venezuela na central afrika.Mara nyingi USA na NATO wamekuwa wakilalamika kuhusu hili kundi la wagner group ambalo linasemekana chimbuko lake urusi limekuwa likiwanyima usingizi
sasa hivi taarifa kutoka kwenye taasisi za kijajusi zinasemekana hili kundi ambalo lipo ukraine wamepewa kazi ya kuhakikisha wanamkamata na kumteka raisi wa ukraine kisha kumpelelaka urusi akiwa haiii
je wagner group ni kundi gani hilo na ni kwanini wamekuwa tishio nchi za magharibi
Nafikiri mara ya kwanza Russia walikuwa wanafikiri hivyo ila sasa wamepata jibu.Mkuu nafikiri Vita sio sawa na kucheza gemu
Hivi mbona hamtumii akili? Urusi ana nyuklia za kuangamiza ukrain dakika moja ispokuwa anawahurumia raia ndo maana anatumia silaha na vita vya kikawaida, hujiulizi usa na nato hawaingii kwanini km sio silaha alizo nazo zamaangamiziUnafahamu Putin alitamba kwamba angemaliza kazi kwa siku tatu tu.!!
Hivi vita vimeleta hadithi nyingi...Mara nyingi USA na NATO wamekuwa wakilalamika kuhusu hili kundi la wagner group ambalo linasemekana chimbuko lake urusi limekuwa likiwanyima usingizi
sasa hivi taarifa kutoka kwenye taasisi za kijajusi zinasemekana hili kundi ambalo lipo ukraine wamepewa kazi ya kuhakikisha wanamkamata na kumteka raisi wa ukraine kisha kumpelelaka urusi akiwa haiii
je wagner group ni kundi gani hilo na ni kwanini wamekuwa tishio nchi za magharibi
sawa mmarekani mweusi tumekusikiaHakuna kundi kama hilo, hizo ni hadithi tu za kijiweni, leo ni wiki tatu zimeisha wameshindwa kukamata hata mji moja wa maana ni kuharibu tu miundombinu na kuua raia.
Jeshi la Russia sio kama ilivyokuwa inadhaniwa, swagger ndio nyingi lakini combat capabilities hamna kitu.