Ni kwanini NATO na USA wanaliogopa kundi la Wagner Group kutokea Urusi

wagner group wapo ukraine ila wanauwawa vizuri ushahid wa dog tag za member wao waliouwawa Twitter zimesambaa sana
 
Hawa wakandarasi wa vita kwa kweli nawapongeza. Ningependa kujuzwa wanasajiliwa na sheria za nchi na wanalipa kodi?
 
Inategemea taarifa unazitoa wapi, ikiwa unazipata BBC, CNN nk ni kweli russia kapigwa Ukraine.
 
Wagner ni secreat military private army ambalo limeasisiwa na KGB chini ya kachero putin na fidel casto wa cuba kwa kifupi hili ni jeshi la kukodi ambalo huwa linafanya kazi za kijeshi katika nchi yeyote pale

Kwa sasa lipo syria ndio wanaopambana na islamic state na ndio jeshi linalomlinda bashari al assad pia lipo kule venezuela na ndio wanaomlinda macroo raisi wa venezuela

Na kuhusu mafunzo yao huwa yapo cuba chini ya yule mrusi anayeishi cuba
 
akili zingine za ajabu,kwa hiyo kwenda kuteka nchi,unaenda tu unakuwa umeiteka,labda tumpe mfano marekani kama ilimchukua wiki moja,kuteka iraq,au syria kafanikiwa kuiteka..
Pia anatakiwa aelewe .

-Russia inapigana na inchi 26 ambazo zinatoa misaada ya kijeshi na silaha Ukraine

-Ukraine inatumia raia wake kama ngao Russia inashindwa kutoa mashambulizi ya moja kwa moja kuhofia kuua raia.

-Ukraine ni nchi yenye jeshi imara lazima itoe Upinzani mkali lkn inapigikia vibaya kila siku anatangaza kuipiga Russia pia huyo huyo analilia misaada
 
Mwabepande Americans and Bunju EU civilians still proceeding to be tortured with adorable hearts by believing the such hypocritical people though they eventually showed what their true colors is to the Poland Nation on NATO issues[emoji849][emoji57]
Mkuu andika Kiingereza, Kirusi utaandika ukiwa Kremlin.
 
Huijui Russia wewe, Russia wanapopigana vita waga hawajui cha raia, wao wahanga wao wa kwanza waga ni raia halafu jeshi baadaye.

Angalia kwenye vita vyao popote kuanzia kule Afghanistan, Chechnya, Georgia, Syria na sasa Ukraine. Wewe unafahamu wakati wanalazimisha mfumo wa kikomunisti waliua raia wao wangapi, wewe hayo hujui kwa sababu hupendi kusoma ila ni kukariri tu hata raia waliowaua kwenye vita vya pili vya dunia hujui.

Wewe endeleza tu ushabik hakuna unachokifahamu kwenye maswala haya.
 
Tutajie miji mitano ya maana ambayo ilitakiwa mrusi aichukue [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848] waswahil kweli akili zetu size ya vijora [emoji706]
 
Ngoja nikuongezee ushahidi

[emoji1054][emoji635][emoji1255] A video of a Brazilian mercenary in Ukraine was filmed in a car heading for Poland: “I don’t know what to say, special forces from all over the world, from France, from all over Europe, from South Korea, Chile, America, Canada. Guys, the whole world is there, there are special forces from all over the world. And then very simply, all I know is that they are all dead. They are all destroyed. You just can't understand one thing, how the plane shoots missiles at you. You can't understand. It's all over, it's all over. The whole part is destroyed."

Your browser is not able to display this video.


[emoji1054][emoji635][emoji1255] Video ya mamluki wa Brazil nchini Ukraine ilirekodiwa ndani ya gari lililokuwa likielekea Poland: “Sijui niseme nini, vikosi maalum kutoka duniani kote, kutoka Ufaransa, kutoka kote Ulaya, kutoka. Korea Kusini, Chile, Amerika, Kanada. Jamani, dunia nzima ipo, kuna vikosi maalum kutoka pande zote za dunia. Na kisha kwa urahisi sana, ninachojua ni kwamba wote wamekufa. Wote wameharibiwa. Huwezi kuelewa jambo moja, jinsi ndege inavyorusha makombora kwako. Huwezi kuelewa. Yote yamekwisha, yote yamekwisha. Sehemu nzima imeharibiwa."
 
Hivi mbona hamtumii akili? Urusi ana nyuklia za kuangamiza ukrain dakika moja ispokuwa anawahurumia raia ndo maana anatumia silaha na vita vya kikawaida, hujiulizi usa na nato hawaingii kwanini km sio silaha alizo nazo zamaangamizi
Hivi wewe unafahamu kwamba vita vya nyuklia havinaga mshindi na Putin analifahamu hilo vizuri kuliko unavyofikiri.

Unafahamu kwamba unaporusha kombora la nyuklia ule moshi wake unaanza kukuua wewe mrushaji na mlengwa wako atakufa baada yako sasa hapo unakuwa umefanya nini tofauti yako na gaidi anayejilipua ni nini.
 
Kibongo bongo Ndo tunaita wasiojulikana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…