Ni kwanini NATO na USA wanaliogopa kundi la Wagner Group kutokea Urusi

Kweli wewe uzolelanga kwa hiyo haya yote yanafanyika Big Brothers wamekaa tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
NATO imewachukua miaka 20 kuanzia 2001 hadi 2021 kuisambaratisha Taleban lakin mwishowe Afghan haipoi wamekimbia…hapo NATO yenye nchi thelathini sio Marekani pekee
 
Una akili ndogo sana bro, hutakiwi kuwa hapa JF. Kuteka nchi sio suala la dakika kadhaa. Ni mktakati (strategy)
 
Una akili ndogo sana bro, hutakiwi kuwa hapa JF. Kuteka nchi sio suala la dakika kadhaa. Ni mktakati (strategy)
Wewe ndiye unajua ni mkakati Putin hajui hilo hadi ameshafukuza majenerali wanane labda umueleweshe kupitia telegram.
 
NATO imewachukua miaka 20 kuanzia 2001 hadi 2021 kuisambaratisha Taleban lakin mwishowe Afghan haipoi wamekimbia…hapo NATO yenye nchi thelathini sio Marekani pekee
Mumebadili gia angani. 🤣🤣🤣
 
NATO imewachukua miaka 20 kuanzia 2001 hadi 2021 kuisambaratisha Taleban lakin mwishowe Afghan haipoi wamekimbia…hapo NATO yenye nchi thelathini sio Marekani pekee
Nato washindwe kukimbia mwanzo wa uvamizi waje wakimbie 20 yrs later..?hata hujiulizi kwa akili yako ndogo..marekani kaondoka baada ya kuona hana maslahi tena hapo..au maslahi yake yamelindwa na wahuni wote amewafyeka..hao wote talibani ni puppets wake..hawana uwezo wa kushindana tena na mmarekani...kawaachia wajiongozi huku rimoti ikitokea pentagon.
Au umesahau walianza kulialia hawana hela ya kuendesha nchi ndio wakaenda kumpigia magoti usa awapatie hela.

#MaendeleoHayanaChama
 
Mie akili yangu ndogo ila Wewe akili yako kubwa ila umesahau kuwa Mabunge yote mawili ya Marekani yameshinikiza majeshi yarudi Home, kurudishwa majeshi nyumbani kilikuwa kilio cha Raia na ndio sababu ikawa agenda kuu ya uchaguzi

Unasema waliobaki wote ni Vibaraka wa Marekani…Marekani huwa inawawekea Vibaraka wao zuio la kutotambuliwa UN, kutopewa fursa ya kuchukua fedha zao zilizopo ng'ambo?

Pengine akili yako kubwa sana ndio sababu hujui au hufuatilii mijadala na mashinikizo yaliyokuwa yanaendelea ndani ya NATO.

Afghan ni wale Jamii ya Viumbe wabishi Duniani…USSR achana na hii Russia ya Putin ile yenyewe yenyewe ya masoshalist waliingiza miguu pale kazi ikawa namna ya kuchomoka na kurudi home na wakarudi…

Najua Wamarekani mliopo Malamba mawili huwa hamkubali kuwa kuna sehemu Marekani huwa inanyoosha Miguu

Nakukumbusha sio mara ya kwanza US kukimbia vita…Somali, Vietnam pia walichimba
 
Kwani wapi walisema wanataka kukamata miji mikuu?
 
Hivi mbona hamtumii akili? Urusi ana nyuklia za kuangamiza ukrain dakika moja ispokuwa anawahurumia raia ndo maana anatumia silaha na vita vya kikawaida, hujiulizi usa na nato hawaingii kwanini km sio silaha alizo nazo zamaangamizi
Changamoto zenu mnadhani akitumia nuclear kuipiga Ukraine ataumia Ukraine tu mnasahau kwamba nuclear inapenetrate mpaka kwenye vyanzo vya maji wanayoyatumia Warussia pia. Na kingine, ile hewa inayozalishwa na nuclear inasafiri kwa kasi ya kilometa 300 kwa saa. Do you think Moscow will be spared? Sometimes msifikiri ni Ukraine tu ataumia tu. The whole of Europe will suffer, Russia and Ukraine included.
 
Kweli mkuu ko unataka kutwambia raia wengi wameuawa kuliko wanajeshi
 
Daaah CNN mbaya sana na BBC ndio kabisa subirini time will tell maana NATO na America wanaogopa kuweka tako lao Ukraine sasa endeleeni ivyo ivyo mwisho mtapata majibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…