Ni kwanini Nchi zenye Waislam wengi Ukristo hupigwa vita usiwepo wakati Nchi iliyojaa Ukristo kuna uhuru wa kuabudu?

Ni kwanini Nchi zenye Waislam wengi Ukristo hupigwa vita usiwepo wakati Nchi iliyojaa Ukristo kuna uhuru wa kuabudu?

Majini mkuu ndio yanawatuma kufanya hivyo.
Majini ya aamlisha walorokole kufunga mpaka kufa hili wakutane na Mungu wao yesu
1682959352562.jpg
 
Waislam ni watu ama jamii isiyopenda ukweli. Wameshajiaminisha vitu vya kukariri bila kujuwa ukweli wowote na wanaona ni ukweli. Kwao, Ukristu ni haramu kwa sababu Mohammed aliuwawa na wanawake wa Kiyahudi hivyo wanaona kila asiye Muislam kwao ni adui. Waislam hawawezi kuji express wenyewe, they don't think to reason. Wao kila kitu wana quote Qur'an wakati Qur'an si kitabu cha Mungu.
Bora ya waisilamu wanao chukua kutoka kwenye qur,an kuliko nyiyi mnaochukua amri kutoka kwa wazee wa kanisa na wachungaji waliwaamrisha kufirwa mbainama wakiwamrisha kufunga mpaka kufa mnatii subili muda utaongea kawe pekasi chini ya mackenzi itageuka shakaholo muda si mrefu tuwe wenye kusubiri
1682959352562.jpg
 
tiba kuu ya yote ni secularism tu which means kutofautisha sera za Serikali na dini kuwa private ya mtu. If you don't do that na kuwapa wenye dini shobo na hisia zao watu watauliwa tu Km Tanzania inavyoshobokea Uislamu na Ukristo dhidi ya Mashoga na soon watahamia kwingine then wao kwa wao. Kuhusu izo nchi za kikristo kuwa na uhuru mwingi is mostly coz ya secularism Ndo maana hata mashoga na wanawake wana uhuru mwingi when kw biblia hawana sana na Mashoga wanatakiwa wauliwe kw biblia which means Biblia is more radical than Islam on that issue. Pia watu wengi wanapenda kuijaji Ukristo now and Forget it's past crimes. Islam ina miaka 1400, Ukristo 2,000 and Judaism 3500 uko. Kasome mavita ya Ukristo Ulaya uko kati ya wakatoliki na waprotestant, 30 year old war uko Ulaya na crusades campaigns za Roma, Spain, Ureno etc wanawake walikuwa lazima wavae nguo fulani, mashoga waliuliwa au kufungwa au kufanyiwa lobotomy, nchi nyingi zilivamiwa na ni wao walisababisha kuwaondoa Wayahudi uko Israel baada ya Roman Empire pia nao. So don't confuse the Bible and secular laws which ignore biblical laws. Hata nchi zenye Waislam wengi ila secular na kuna Amani na uhuru zipo km Turkey, Kazakhstan, Tajikistan, Kyrgyzstan, Albania, Kosovo, Bosnia, Indonesia( kasoro jimbo la Aceh), etc ambazo ni secular na ushoga pia halali na kitu binafsi so ukitenga dini na sera zake utapata Amani tu na usijidangaje eti Ukristo au Uyuda ni bora na zina uhuru kuliko Uislam Hapana Uislam umeborrow values zake zote uko zikitofautiana kidogo sana; Difference tu leo duniani many Muslims take the Quran literally as it is and Christians sana sana uko Ughaibuni ignore most of it.
 
Wanahisi uislamu hauna nguvu mbele ya ukristo na wanachukia sana kusikia ukristo una wafuasi wengi zaidi yao na wanafanya juhudi za kila namna waislamu wawe wengi kwa kutumia nguvu hawakupi uamuzi uwe Muislamu au lah wanataka uwe Muislamu kwa kutumia nguvu ili waongeze tu idadi
Nani kulazimu uwe muisilamu wewe mchambia makaratasi wewe kiboko yenu mackenzi tu

Unapotosha watu
 
Wanahisi uislamu hauna nguvu mbele ya ukristo na wanachukia sana kusikia ukristo una wafuasi wengi zaidi yao na wanafanya juhudi za kila namna waislamu wawe wengi kwa kutumia nguvu hawakupi uamuzi uwe Muislamu au lah wanataka uwe Muislamu kwa kutumia nguvu ili waongeze tu idadi
Uislamu unakua kwa kasi zaidi kuliko dini yoyote duniani.

Ulaya wameachana na ukiristo kitambo sana, na hali hiyo inakwenda kwa kasi sana America. Ukiristo umebaki zaidi kwenu masikini na Latin America.

Kuna makanisa yanahalalisha hadi ndoa za LGBTQ , hakuna dhehebu hata moja la kiislamu linakubaliana na ujinga huo.

Hebu msikilize kwanza mzee wa Upako anavyokwambieni kuwa wenyewe kwa wenyewe mnapigana kanyanga.

sababu hii hapaView attachment 2618356
Ni wajibu wa mwislam yoyote kumpiga asiye muislam mpaka wote wasilimu na kutoa zaka
naona mnajitekenya na kucheka wenyewe kwa kuleta propaganda za kizamani …Qur an ipo na ndio Muongozo wa Waislam

Muongozo wa uislam unapatikana kwny Qur an

sura ya pili aya ya 190 (2:190)

' piganeni nao katika njia ya Mwenyezimungu wale wanaokupigeni wala msianze uadui, Mwe yezimungu hawapendi wanaoanzisha uadui'

hayo ndio maneno ya Allah katika Qur an yasiyo na unafiki …ukianzisha ugomvi lazima watu wapambane na hayo ni maelekezo na tumepigwa marufuku kuanzisha ugomvi na uadui kwa kuwa Mungu hapendi wanaoanzisha uadui
 
Ukristo amri kuu ya mafundisho ni Upendo, Uislam wao nafikiri malengo makuu ni kueneza dini, tabia utajijua mwenyewe.
mnashindwa kueneza upendo wenyewe kwa wenyewe tena ndani ya nyumba za Ibada mnageuza mapango ya kutapelia waumini ndio mje kuigiza upendo kwa mwingine

punguzeni maigizo ya kujifanya watu wa upendo wakati tunaishi nanyi mitaani tunawajua nje ndani mnavyopasuana hata wenyewe kwa wenyewe
 
Mbona Senegal hizo mambo hazipo na pana uislam kwa % kubwa unakuta hata viongozi wakubwa wa Serikali waislamu wanaoa Wakristo na maisha yanaendelea nadhani pia wale jamaa nilichogundua Elimu yao ya dini ipo sawa sana wao huwezi kusikia wakihubiri kuhusu chuki au dini ipi ni bora wao ni mkeka na wao wao na Mkeka...
 
Wanafanya hivyo ili kuficha ukweli wa Mungu kupitia biblia na kueneza dhana potofu ya kuharibu dunia ndogo maana ukiangalia katika nchi ambako limeenea sana uislamu vita n machafuko hayaishi
 
mchambia makaratasi
Pedophile alikuwa anachambia mawe

Abu Huraira: Nilimfuata Mtume wakati alikuwa anaenda kujisaidia. Alikuwa haangalii kushoto wala kulia. Kwa hivyo, nilipokaribia karibu naye aliniambia, "Nitafutie mawe ili nisafishie sehemu zangu za siri(au alisema kitu kinachofanana), na usilete mfupa au kipande cha dung." Basi nikaleta mawe katika kona ya vazi langu na kuziweka kando yake kisha nikamwacha. Alipomaliza (kutoka kusaidia) aliitumia mawe kujisafisha. (Sahih Bukhari 1: 4: 157)
 
kuna nchi kama ufaransa na sweden hata marekani kuna kitu kinaitwa Islamophobia mbona watu wanachoma Quran na wanalindwa vizuri tu. Jamii nyingi za west zilikua hazipokei wa Islam kutokana na propaganda tu.
Ila asilimia kubwa ya watu wakawaida jirani tunaoishi nao mbona wapo freshi

Sikatai kuwa kuna kundi la watu ambao hawajasoma dini huwa wanafanya vitendo vibaya wapo kwa sababu aidha za kisiasa au wanazojia binafsi.

Lakini huwezi kukuta mtu aliesoma dini akaielewa anafanya hivyo.

Kingine, usitafsiri dini kwa kuangalia watu kwa sababu hamna aliekamilika ila ukisoma maandiko yaliyotokana na kitabu kitukufu yanasema "la iqraha fii din" hakuna kulazimishana katika dini.

Watu hawasomi, tusomeni
 
Wanafanya hivyo ili kuficha ukweli wa Mungu kupitia biblia na kueneza dhana potofu ya kuharibu dunia ndogo maana ukiangalia katika nchi ambako limeenea sana uislamu vita n machafuko hayaishi
Mchungaji Mckenzie wa Kenya na Kibwetere wa Uganda wanaunga mkono hoja yako. Hao ndo wanaowakilisha Ukiristo wa kweli!
 
Uislamu unakua kwa kasi zaidi kuliko dini yoyote duniani.

Ulaya wameachana na ukiristo kitambo sana, na hali hiyo inakwenda kwa kasi sana America. Ukiristo umebaki zaidi kwenu masikini na Latin America.

Kuna makanisa yanahalalisha hadi ndoa za LGBTQ , hakuna dhehebu hata moja la kiislamu linakubaliana na ujinga huo.

Hebu msikilize kwanza mzee wa Upako anavyokwambieni kuwa wenyewe kwa wenyewe mnapigana kanyanga.

View attachment 2618601
Pumba
 
Back
Top Bottom