Ni kwanini Nchi zenye Waislam wengi Ukristo hupigwa vita usiwepo wakati Nchi iliyojaa Ukristo kuna uhuru wa kuabudu?

Mfano ni nchi kama Nigeria tu hapo Waislam ni asilimia 50, Wakristo asilimia 40 Utakuta kanisa limebomolewa, Kanisa limelipuliwa, Wakristo wanatekwa au Wakristo wanauawa?
Hapo dini moja inafundisha upendo wakati nyingine inafundisha chuki.
Kuna dini upendo ni amri sio hiari tena uwapende maadui zako.
Na kuna dini inafundisha chuki yaaan asiye wa dini hiyo ni kafiri.
 
Vipi tene mbona tunafokeana. Naona ujumbe umekupata sawa sawa wazee wa majambia.
 
Wakristo kufa ni jambo la kawaida sana na hayo Yesu mwenyewe alisema kwamba kuna wakati wataua wakristo na kufikiri wanamtolea Mungu sadaka.
 
Ma Imam na Masheikh wanakemea kufilwa wanaume wenzao wakati wao ndiyo wafiraji wakubwa
 
Mfano ni nchi kama Nigeria tu hapo Waislam ni asilimia 50, Wakristo asilimia 40 Utakuta kanisa limebomolewa, Kanisa limelipuliwa, Wakristo wanatekwa au Wakristo wanauawa?
@sky soldier ebhana ni media tu ila waislamu wanafanyiwa mambo ya hovyo zaidi ya kuchomewa kabisa na Wala usipate taarifa popote pale.

Uislamu unatumika kama kiki ili kupaisha vitu vingine au kutia hofu kwa watu.
 
Mzee wa ujuaji kile kilichotekea Mozambique pale ambapo vijana wa kiislamu walikuwa wanaua watu nao walichokozwa?
 
Mzee wa ujuaji kile kilichotekea Mozambique pale ambapo vijana wa kiislamu walikuwa wanaua watu nao walichokozwa?
Kwa hiyo Vijana wa kiiislam wakiwa wanavuta bhangi utaniambia nikupe ushahidi wa wapi Qur an imeruhusu wavute bhangi ?

mie nimekupa aya inayokataza kupiga asiekupiga na ukichokozwa lipa kisasi kwa kiwango cha uchokozi na aya imemaliza kuwa Mungu hapendi wagomvi

hao Vijana wa Mozambique wanayoyafanya unatakiwa unipe aya au Hadithi inayowataka kufanya hivyo ndio tufanye mjadala …umeniita Mzee wa Ujuaji sio kidogo ni mjuaji hasa kwa lile ninalolijua

Kwa hiyo Mchungaji Mackenzie akiwamalizia kuwaua walioepuka kifo kwa kufunga maana yake Bible imeelekeza hivyo?

Shuleni mlienda kujifunza ujinga na uzezeta ?
 
Watu mnajilisha upepo, ngoja nianze na Ulaya zipo nchi hazitaki Waislamu au Uislamu ni marufuku kujenga Msikiti wala kuswali kwa jumuiya.

Uyunani siku hizi mnaita Ugiriki
y are there no mosques in Greece?


Mosques have existed within the borders of modern Greece since the era of Emirate of Crete (824-961). But no mosques of the Emirate remain as they were torn down and remaining Muslims either killed, enslaved or converted to Christianity after the Byzantine reconquest of Crete (961).

Hii ni Slovakia na sera yao ya Ubaguzi
There is a country in the world where only Muslims live, but there is not a single mosque built here. Not only this, but they have not got permission to build a mosque in this country. The name of this country is Slovakia. The Muslims in Slovakia are Turks and Ugar, and have been living here since the 17th century. In 2010, Slovakia had a Muslim population of around 5,000. Slovakia is also a member of the European Union. But it is a country that became its member in the end.

Hapo sijaitaja Poland hata kidogo ambayo kwake haitaki hata msikiti ujengwe achilia mbali kuruhusu Waislamu kuingia kwenye Taifa hilo.
 
waislam ni wabaguzi by born
wamekomaa kuitetea dini yao utadhani ndio tiketi ya kuwafikisha mbinguni kumbe ni mbwembwe tu za hapa duniani mambo ya waarabu mbinguni hayapo.
 
DINI NI UTAPELI
DINI NI UJUHA
DINI NI UMASKINI
DINI NI UJAMBAZI
KATAA DINI!
 
Hao wadau sijui kwanini wapo hivo, kipindi flan nlisoma shule ya kiislamu walikua hawaruhusu kufanya ibada na tuliheshimu japo palinishinda!

Wapo wanaowachukia wakristo kutoka moyoni lkn wengine wanafata mkumbo tu.
 
mbona unajichanganya wewe bibie?wewe ni zezeta kweli inamaana umesahau kuwa wewe ndie uliesema kuwa wakristo wenyewe tu ndani kwa ndani hawapendani itakuwaje wawapende wa nje?
 
Zanzibar kwenye waislamu wengi na iringa kwenye wakristo wengi wengi wapi kuna mashoga wengi? Lamu kenya na kisumu kenya kwa wakristo weng wapi kuna mashoga wengi, mombasa kwa waislamu wengi na na meru kwa wakristo wengi wap kuna mshoga wengi , je wajua saudia kuna mashonga wengi kuliko England? Tafakari sna.
 
Mfano ni nchi kama Nigeria tu hapo Waislam ni asilimia 50, Wakristo asilimia 40 Utakuta kanisa limebomolewa, Kanisa limelipuliwa, Wakristo wanatekwa au Wakristo wanauawa?
Jazba kaka wale watu wanajazba..sijui wanarithi wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…