Ni kwanini Nchi zenye Waislam wengi Ukristo hupigwa vita usiwepo wakati Nchi iliyojaa Ukristo kuna uhuru wa kuabudu?

Nina story Moja ya mchungaji aliyekuwa Imamu WA msikiti.

Kuna Ndugu yangu Alikuwa ni Imamu WA msikiti mkubwa sana Tanzania.

Baadaye akapata Neema ya Mungu akaamua kuokoka na ku mkiri Yesu kwenye Maisha yake.

ANASIMULIA
Anasema hata WAISLAMU wanajua Uwezo wa JINA la YESU.
ANASISITIZA ANASEMA HATA BALAZA LA ULAMAA linajua NGUVU ya jina la Yesu.

ANAENDELEA KUSISITIZA KUWA.
Yesu hajandikwa kwenye Quran kwasababu ya NGUVU ya Jina lake.
MAJINI NA MAPEPO YANAOGOPA SANA KUSIKIA JINA LA YESU. YAKISIKIA JINA LA YESU YANAKIMBIA.

Jamaa Ameokoka.
Amekuwa na KANISA lake Hapa Dar es salaam. Ana NGUVU za KIROHO ajabu anaombea wagonjwa wenye shida na TAABU wanapona kwa JINA la YESU.
 
DINI ya kiislamu inasema MTU ASIYE muislamu na ANATAKIWA AUWAWE ama la awe tayari kuslimu au kutoa USHURU.

MTU YOYOTE ATAKAYEACHA UISLAMU ANATAKIWA AUWAWE.

DINI YA MAUAJI.
 
Kukosa akili tu

Ndugu zetu hawa dini yao ni ya kulazimisha watu,sio ya mtu mwenyewe kufanya maamuzi
 
UMEMALIZA KUONGEA SASA MIMI NDIE SHETANI NIMEKUJA DUNIANI KUWAPOTEZA WAKRISTO WOOTE WAAMINI KUWA YESU NDIE MUNGU HALAFU WAAMINI MANABII FEKI NA WAAMINI KUOMBEWA NA MANABII ILI TUINGIE WOOTE MOTONI NI UZURI KAZI YANGU KWA WAKRISTO KUWAPOTOSHA SIO NGUMU NI KAMA KUMSUMA MVUTA UNGA,
 
Na Hii ndiyo hukumu; ya kuwa nuru imekuja ulimwenguni, na watu wakapenda giza kuliko nuru; kwa maana matendo yao yalikuwa maovu.Yoh 3:18
 





 
nimetuma picha nchi ulizosema hazitaki misikiti na waislamu kwa uchache wa hizo nchi na uchache wa misikiti kukuonyesha chuki zako kwa waislamu
 
nimetuma picha nchi ulizosema hazitaki misikiti na waislamu kwa uchache wa hizo nchi na uchache wa misikiti kukuonyesha chuki zako kwa waislamu
Usijitoe ufahamu kwa kuweka hayo mapicha.Sehemu zenye waislam wengi uhuru wa dini zingine kuabudu haupo la.kama upo ni mdogo sana.Hapa nchini kwetu Zanzibar ni kipimo tosha wala huitaji kuonesha nchi za mbali.Mara ngapi makanisa na watumishi wa Mungu wamefanyiwa hujuma Zanzibar?Uislam si dini ya haki na amani kama mnayoitetea ina vinasaba vya chuki kwa wasio waislam.Kuna maeneo hata ukionekana umevaa msalaba unauwawa.
Lakini wao wakienda kwa wasio waislam wanataka watendewe kwa haki na usawa.
 
Ni wajibu wa mwislam yoyote kumpiga asiye muislam mpaka wote wasilimu na kutoa zaka
 
Ha Hapa umegonga ku moyo harudii tena maana atakuwa ameshajua ujinga na umbumbumbu wake dini hiyo.
 
Mfano ni nchi kama Nigeria tu hapo Waislam ni asilimia 50, Wakristo asilimia 40 Utakuta kanisa limebomolewa, Kanisa limelipuliwa, Wakristo wanatekwa au Wakristo wanauawa?
Hiyo syo kweli uislamu ndo dini inayojali watu kuwa na aman na kutunza heshima zao hao unaoona wanalipua makanisa wameuacha uislamu ulio wa swa na wanafuata matamanio yao tu na hakuna katika nchi za kikristo kuna uhuru wa kuabudu kwan wao ndo wenye kuwadharirisha waislamu na kuwanyima uhuru wao wa kuabudu
 

Fikiria mtu umwambie mtu kwamba huu ni upuuzi umeandikiwa[emoji23][emoji23][emoji23].

Kuupokea ni kazi ngumu sana.
 
Ukristo amri kuu ya mafundisho ni Upendo, Uislam wao nafikiri malengo makuu ni kueneza dini, tabia utajijua mwenyewe.
Ndio kusema nyiyi wakirito mnao upendo?kuanzia ngazi zote za utawala nchii asilimia kubwa ni wakirito kama mngekuwa na upendo tungeona matendo matunda yenu ya upendo tena mna roho mbaya sana pesa mbele kuanzia kwa wachungaji mpaka mapadiri mpaka watawala walioko serikalini
 
Ukidundwa shavu la kulia eti umgeuzie na shavu la kushoto! Huo sio unafiki? Kwangu ninarudisha mkung'oto wa kisawasawa mwenye mashavu yote ili ashike adabu. Umeandika jino kwa jino.
 
Um Umepewa hadithi ya kuwafanya waislamu wafanye hayo mambo je umeisoma lakini? Na je hadithi hiyo ni sahihi au siyo sahihi?
 
Unauongelea uislam upi ambao unavumilia imani za wengine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…