Ni kwanini Nyoka yoyote mwenye Sumu Kali akikutana na Mtoto Mchanga au Mdogo hawezi kumdhuru na atakuwa anacheza naye tu?

Ni kwanini Nyoka yoyote mwenye Sumu Kali akikutana na Mtoto Mchanga au Mdogo hawezi kumdhuru na atakuwa anacheza naye tu?

Mambo ya coordination tu, tunasema mtu mzima akikutana na kiumbe kama hivyo pale pale huwa katika condition ya nervousness kiasi mwamba hata kile kiumbe nacho huhisi kitu kama kinataka kudhuriwa na ndipo kinapofanya jambo ili kujilinda. Hali hii iko tofauti kwa mtoto ambapo yeye kila linalotokea kwake huhisi ni jambo la kawaida hivyo kutoonesha hisia zozote za uoga na ndio hupelekea mazingira ya kile kiumbe kutohisi au kuona kama kinataka kudhuriwa, hivyo huwa hakina sababu ya kujilinda kwa vile hakuna shambulio dhidi yake. [emoji120][emoji120][emoji120]
 
Niliangalia documentary inayohusiana na wale ambao hufanya kaz ya kukamata nyoka majumbani mwa watu pande za India(interior) ,wakazi huwa wanalia san watoto wao wanavyokufa kwa kung'atwa na nyoka
 
Niliangalia documentary inayohusiana na wale ambao hufanya kaz ya kukamata nyoka majumbani mwa watu pande za India(interior) ,wakazi huwa wanalia san watoto wao wanavyokufa kwa kung'atwa na nyoka

Watoto wenye umri gani?
 
Bila shaka ni koboko mla ganja, huyu bana kichwa chake siyo kizuri sana... yaani yeye furaha yake ni kugonga tu hajui cha mtoto wala nini.
Ni miongoni mwa majoka ya hatari sana,akikutia meno kama umhaujapata tiba ndani ya dk 20,unaaga dunia,pia ni joka lenye mbio kuliko nyoka wote
 
Mnyama yoyote mkali hakutupuki kun'gata asipochokozwa..na hata hivyo shetani hawezi pambana na malaika.
 
Hakuna ukweli kwenye hili. Mlete mwanao hapa Zoo kuna chatu mwenye njaa kali tuone kama watacheza.
Kumbe lugha huji wewe mwenzio kasema nyoka mwenye sumu kali chatu hana sumu mkuu.
 
Kumbe lugha huji wewe mwenzio kasema nyoka mwenye sumu kali chatu hana sumu mkuu.
Mwenye post alinijibu vizuri kabisa sielewi wewe mwenye akili zaidi ya mleta mada. Usichukulie kila kitu serious sana
 
Back
Top Bottom