Bila shaka ni koboko mla ganja, huyu bana kichwa chake siyo kizuri sana... yaani yeye furaha yake ni kugonga tu hajui cha mtoto wala nini.Unamzungumzia nyoka ambaye ni toy au kama huyu hapa chini
View attachment 1481492
Mkuu Kila mtu ananguvu kuliko mwingine,lakini kumbuka imesema hii nguvu Ina kazi nyingi na Moja wapo ninesemani kusawazisha mambo,so kifo pia kama muda umefika ni Moja wapo ya kazi ya hizo nguvu mkuu katika kuweka level mambo
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Niliangalia documentary inayohusiana na wale ambao hufanya kaz ya kukamata nyoka majumbani mwa watu pande za India(interior) ,wakazi huwa wanalia san watoto wao wanavyokufa kwa kung'atwa na nyoka
Ni miongoni mwa majoka ya hatari sana,akikutia meno kama umhaujapata tiba ndani ya dk 20,unaaga dunia,pia ni joka lenye mbio kuliko nyoka woteBila shaka ni koboko mla ganja, huyu bana kichwa chake siyo kizuri sana... yaani yeye furaha yake ni kugonga tu hajui cha mtoto wala nini.
Kwanzia minneWatoto wenye umri gani?
Kumbe lugha huji wewe mwenzio kasema nyoka mwenye sumu kali chatu hana sumu mkuu.Hakuna ukweli kwenye hili. Mlete mwanao hapa Zoo kuna chatu mwenye njaa kali tuone kama watacheza.
Mwenye post alinijibu vizuri kabisa sielewi wewe mwenye akili zaidi ya mleta mada. Usichukulie kila kitu serious sanaKumbe lugha huji wewe mwenzio kasema nyoka mwenye sumu kali chatu hana sumu mkuu.
Imani yako ikufungue na si kukufungaHizo huwa ni hadithi mkuu, nyoka ni kiumbe chenye laana, hakijawahi kuwa na urafiki na binadamu hata siku moja
Hatari sanaNi miongoni mwa majoka ya hatari sana,akikutia meno kama umhaujapata tiba ndani ya dk 20,unaaga dunia,pia ni joka lenye mbio kuliko nyoka wote