Mwanongwa
JF-Expert Member
- Feb 15, 2023
- 879
- 814
Habari ndugu zangu, hivi huu ndiyo uchaguzi wa haki na tunategemea Kuna siku upinzani utakuja kushika nchi?
Yaani rais anatoka Ikulu anaenda Kwenye kampeni Kisha anarudi tena Ikulu kupumzika.
Kwanini kipindi kama hichi Cha kupambania uongozi Nchi asikabidhiwe mkuu wa majeshi mpaka pale kiongozi mpya atakapopatikana baada ya uchaguzi.
Nawaza tu hapa ndugu zangu bado tunasafari ndefu sana Kwenye suala la Demokrasia
#Octobertunatiki
#Noreforms Noelection