Tunachoweza ni kusubiri kumsikiliza Polepole ateme nyongo, baada ya hapo tutumie siku nzima kujadili nyongo za polepole, siku ikiisha tunarudi majumban kwenda kulala. Tunasubiri tena kusikia Jk au RA atajibu nini.ngozi ya taa call hamna tunachoweza

Biden hakuwahi kutokea White house na kwenda kwenye kampeini za Uraisi na mpinzani wake akiwa ni DT.Vitu vingi tunacopy ulaya,marekani na Asia, JE wao wanafanya vipi!? Biden alipokuwa anapambana na Trump alikuwa anatokea wapi kwenda kwenye kampeni?
Kwani katiba ya nchi inasemaje kuhusu hilo?Habari ndugu zangu, hivi huu ndiyo uchaguzi wa haki na tunategemea Kuna siku upinzani utakuja kushika nchi?
Yaani rais anatoka Ikulu anaenda Kwenye kampeni Kisha anarudi tena Ikulu kupumzika.
Kwanini kipindi kama hichi Cha kupambania uongozi Nchi asikabidhiwe mkuu wa majeshi mpaka pale kiongozi mpya atakapopatikana baada ya uchaguzi.
Nawaza tu hapa ndugu zangu bado tunasafari ndefu sana Kwenye suala la Demokrasia
#Octobertunatiki
#Noreforms Noelection
Baba yako anasema ana mtoto? Soma katiba ya mwehu Nyerere ndio utajua.Habari ndugu zangu, hivi huu ndiyo uchaguzi wa haki na tunategemea Kuna siku upinzani utakuja kushika nchi?
Yaani rais anatoka Ikulu anaenda Kwenye kampeni Kisha anarudi tena Ikulu kupumzika.
Kwanini kipindi kama hichi Cha kupambania uongozi Nchi asikabidhiwe mkuu wa majeshi mpaka pale kiongozi mpya atakapopatikana baada ya uchaguzi.
Nawaza tu hapa ndugu zangu bado tunasafari ndefu sana Kwenye suala la Demokrasia
#Octobertunatiki
#Noreforms Noelection
Wanajeshi nao wana tamaa sana. Kule Madagascar (wana mtindo huo) kamanda Abubakari aling'ang'ania ikulu mpk akaondolewa kwa nguvu na jeshi la TanzaniaKwanini kipindi kama hichi Cha kupambania uongozi Nchi asikabidhiwe mkuu wa majeshi mpaka pale kiongozi mpya atakapopatikana baada ya uchaguzi.
Kaeni kwa kutulia mmeshatupa Taulo MACHADEMA.Habari ndugu zangu, hivi huu ndiyo uchaguzi wa haki na tunategemea Kuna siku upinzani utakuja kushika nchi?
Yaani rais anatoka Ikulu anaenda Kwenye kampeni Kisha anarudi tena Ikulu kupumzika.
Kwanini kipindi kama hichi Cha kupambania uongozi Nchi asikabidhiwe mkuu wa majeshi mpaka pale kiongozi mpya atakapopatikana baada ya uchaguzi.
Nawaza tu hapa ndugu zangu bado tunasafari ndefu sana Kwenye suala la Demokrasia
#Octobertunatiki
#Noreforms Noelection
Kwasababu anagombea awamu nyingine, ulitaka nchi amwachie nani? Dogo nafasi ya Urais ni kubwa sana siyo ya kukaimu kirahisi hivyo, kwanza ili ushike yale madaraka una viapo vitatu na lazima jeshi likupokee na kukupatia kiapo cha utii. Huo ni mfumo wa dunia nzimaHabari ndugu zangu, hivi huu ndiyo uchaguzi wa haki na tunategemea Kuna siku upinzani utakuja kushika nchi?