Hutakiwi hata umjibu huyu mjinga miaka 70 ya taifa hili anakuja kuhoji kwa nn raisi alieko madarakan anatokea ikulu kufanya siasa huyu hakupaswa kuwa humu atafute group la kuna nazi ajiunge hafai hata kuelekezwa mwacheni tuFanya utafiti utaona,ni marais wote duniani hufanya hivyo