Vitu vingi tunacopy ulaya,marekani na Asia, JE wao wanafanya vipi!? Biden alipokuwa anapambana na Trump alikuwa anatokea wapi kwenda kwenye kampeni?Habari ndugu zangu, hivi huu ndiyo uchaguzi wa haki na tunategemea Kuna siku upinzani utakuja kushika nchi?
Yaani rais anatoka Ikulu anaenda Kwenye kampeni Kisha anarudi tena Ikulu kupumzika.
Kwanini kipindi kama hichi Cha kupambania uongozi Nchi asikabidhiwe mkuu wa majeshi mpaka pale kiongozi mpya atakapopatikana baada ya uchaguzi.
Nawaza tu hapa ndugu zangu bado tunasafari ndefu sana Kwenye suala la Demokrasia
#Octobertunatiki
#Noreforms Noelection
Wao wanafanyaje kipindi kama hiki cha kampeni?Hii sio sawa. Inabidi tutumie mfumo wa Madagascar
Mbona hushangai mpaka sasa mawaziri wanahudumu katika nafasi zao wakati bunge lilishavunjwa?Habari ndugu zangu, hivi huu ndiyo uchaguzi wa haki na tunategemea Kuna siku upinzani utakuja kushika nchi?
Yaani rais anatoka Ikulu anaenda Kwenye kampeni Kisha anarudi tena Ikulu kupumzika.
Kwanini kipindi kama hichi Cha kupambania uongozi Nchi asikabidhiwe mkuu wa majeshi mpaka pale kiongozi mpya atakapopatikana baada ya uchaguzi.
Nawaza tu hapa ndugu zangu bado tunasafari ndefu sana Kwenye suala la Demokrasia
#Octobertunatiki
#Noreforms Noelection
Fanya utafiti utaona,ni marais wote duniani hufanya hivyoHabari ndugu zangu, hivi huu ndiyo uchaguzi wa haki na tunategemea Kuna siku upinzani utakuja kushika nchi?
Yaani rais anatoka Ikulu anaenda Kwenye kampeni Kisha anarudi tena Ikulu kupumzika.
Kwanini kipindi kama hichi Cha kupambania uongozi Nchi asikabidhiwe mkuu wa majeshi mpaka pale kiongozi mpya atakapopatikana baada ya uchaguzi.
Nawaza tu hapa ndugu zangu bado tunasafari ndefu sana Kwenye suala la Demokrasia
#Octobertunatiki
#Noreforms Noelection
Yani tunachezewa sana mm natamani akili ya kila mtu ifunguke kweny haya mambo yanayo fanyikaHabari ndugu zangu, hivi huu ndiyo uchaguzi wa haki na tunategemea Kuna siku upinzani utakuja kushika nchi?
Yaani rais anatoka Ikulu anaenda Kwenye kampeni Kisha anarudi tena Ikulu kupumzika.
Kwanini kipindi kama hichi Cha kupambania uongozi Nchi asikabidhiwe mkuu wa majeshi mpaka pale kiongozi mpya atakapopatikana baada ya uchaguzi.
Nawaza tu hapa ndugu zangu bado tunasafari ndefu sana Kwenye suala la Demokrasia
#Octobertunatiki
#Noreforms Noelection
ngozi ya taa call hamna tunachowezaHabari ndugu zangu, hivi huu ndiyo uchaguzi wa haki na tunategemea Kuna siku upinzani utakuja kushika nchi?
Yaani rais anatoka Ikulu anaenda Kwenye kampeni Kisha anarudi tena Ikulu kupumzika.
Kwanini kipindi kama hichi Cha kupambania uongozi Nchi asikabidhiwe mkuu wa majeshi mpaka pale kiongozi mpya atakapopatikana baada ya uchaguzi.
Nawaza tu hapa ndugu zangu bado tunasafari ndefu sana Kwenye suala la Demokrasia
#Octobertunatiki
#Noreforms Noelection
Kwanini tusitumie mfumo wa USA ?Hii sio sawa. Inabidi tutumie mfumo wa Madagascar
Hahahahaha anatuona sisi wajingahilo siyo tatizo kwa maana ni takwa la kikatiba, ila tu kinachonishangaza ni pale anaposema siku 100 za kwanza nitafanya xyz, sasa kwa nini asifanye leo hii yaani sasa hivi kwani si ni bado raisi na power yote ? ...