GE2025 Ni Kwanini Rais aliyepo Madarakani anafanya kampeni wakati bado Yuko Ikulu?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Fanya utafiti utaona,ni marais wote duniani hufanya hivyo
Hutakiwi hata umjibu huyu mjinga miaka 70 ya taifa hili anakuja kuhoji kwa nn raisi alieko madarakan anatokea ikulu kufanya siasa huyu hakupaswa kuwa humu atafute group la kuna nazi ajiunge hafai hata kuelekezwa mwacheni tu
 
Katiba ya nchi inaelekeza baada ya bunge kuvunjwa kiti Cha Urais kitakuwa wazi
Ila sidhan kama ccm waliwahi kutekeleza Hilo?
 
Vitu vingi tunacopy ulaya,marekani na Asia, JE wao wanafanya vipi!? Biden alipokuwa anapambana na Trump alikuwa anatokea wapi kwenda kwenye kampeni?
Mbona ushoga hamuutaki ku copy?
 
Vitu vingi tunacopy ulaya,marekani na Asia, JE wao wanafanya vipi!? Biden alipokuwa anapambana na Trump alikuwa anatokea wapi kwenda kwenye kampeni?
Mbona ushoga hamuutaki ku copy?
 
Nchi imebakwa na wahuni
 
Wanajeshi nao wana tamaa sana. Kule Madagascar (wana mtindo huo) kamanda Abubakari aling'ang'ania ikulu mpk akaondolewa kwa nguvu na jeshi la Tanzania

Huko ni Comoro sio Madagascar. Madagascar mfumo wao nzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…