MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Uache kufikiria kutafuta pesa zako ukae kuwaza kuwa chawa wa familia fulani cjui vijana mnakwama wapiWakati nikiyasubiri kwa hamu sana Majibu yenu hapa naomba nipatiwe Mbinu ya kuwa karibu mno na ama Waziri wa Ulinzi Dk. Stergomena Tax au hata Familia yake tu, ili ikiwezekana kuanzia 2025 niwe na uhakika wa Kuezeka Kakibanda Kangu kanakonitesa na kunihangaisha kwa muda mrefu kutokana na Umasikini wangu mkubwa huko Mapinga.
wewe si uko mzena?? nyote hapo ni mabilionea acha kutukebehi sisiWakati nikiyasubiri kwa hamu sana Majibu yenu hapa naomba nipatiwe Mbinu ya kuwa karibu mno na ama Waziri wa Ulinzi Dk. Stergomena Tax au hata Familia yake tu, ili ikiwezekana kuanzia 2025 niwe na uhakika wa Kuezeka Kakibanda Kangu kanakonitesa na kunihangaisha kwa muda mrefu kutokana na Umasikini wangu mkubwa huko Mapinga.
nani kakudanganya? mbinu ya Pk ile kwanza kuvuta attention ya mabeberu yanayomlinda. Pili wanawake anaowaburuza anavyotaka.Rwanda wanawake wengi wamepewa uongozi nyeti na nchi inakwenda vizuri, sio vibaya kuiga mambo mazuri.
Akiwa anatoka magogoni mpaka Kariakoo au Magogoni mpaka Iceland! Jamani elimu yenu Inasikitisha!Nyie tuwen wapole kwan tatizo kubwa la nchi hii wazee wetu pia wanahusika , walishindwa kujikita kwa kutengeneza kizaz cha uzalendo , ndo maana hapa tz ukiwa mzalendo utazongwa xana [emoji848] pia ningalipenda niulize swal jepes
HIVI SAFAR MOJA YA RAIS INAWEZA GHARIMU KIAS GAN CHA FEDHA HAD KUKAMILIKA?
Nyinyi haohao ndio mliokua mnamnanga mwendazake kwa nini anajifungia ndani haendi kujichanganya na watu duniani.Nyie tuwen wapole kwan tatizo kubwa la nchi hii wazee wetu pia wanahusika , walishindwa kujikita kwa kutengeneza kizaz cha uzalendo , ndo maana hapa tz ukiwa mzalendo utazongwa xana [emoji848] pia ningalipenda niulize swal jepes
HIVI SAFAR MOJA YA RAIS INAWEZA GHARIMU KIAS GAN CHA FEDHA HAD KUKAMILIKA?
Ningekuwa hapo Mzena kama unavyohisi ( unavyodhani ) si ningeringa sana Ndugu? Nipo zangu tu hapa Unguja kwa Bi. Hangaya navua na kupara zangu Samaki tu.wewe si uko mzena?? nyote hapo ni mabilionea acha kutukebehi sisi
Ulipoitaja tu Rwanda nimefurahi sana Ndugu.Rwanda wanawake wengi wamepewa uongozi nyeti na nchi inakwenda vizuri, sio vibaya kuiga mambo mazuri.
Yoda mwenzio mightier ameomba kuwa karibu na family ya stargomena wewe wako ni nani.Nyie wakurupukaji ndivyo mlivyofikiri?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yoda mwenzio mightier ameomba kuwa karibu na family ya stargomena wewe wako ni nani.
Wamepewa Urais?Rwanda wanawake wengi wamepewa uongozi nyeti na nchi inakwenda vizuri, sio vibaya kuiga mambo mazuri.