Ndiyo maana tunamshinikiza Rais Samia aunde Tume hiyo ya Majaji, kwa kuwa siyo "fair" kwa nchi hii moja, baadhi ya watu waruhusiwe kutafuna mabilioni ya pesa, kama vile wapo "above law" wakati wananchi wengine wanasulubiwa na wamehukumiwa Mahakamani kwa wizi wa kuku tu![emoji3064]