Ni kwanini sasa miaka 58 ya Uhuru wa Tanganyika iadhimishiwe jijini Mwanza?

Ni kwanini sasa miaka 58 ya Uhuru wa Tanganyika iadhimishiwe jijini Mwanza?

Mtoa post Ni miemko tu ya kisiasa inayokusumbua na kutakakupandikiza chuki miongoni mwa watanzania na serikali. Mwaka huu hauwezi kuwa mwisho wa maazimisho ya miaka 58 ya uhuru.Je umejiuliza swali mwakani itafanyika wap

Hatua waliyofikia sasa hawawezi kuelewa busara yeyote, akili zao zimejifunga mioyo yao imejaa uchungu. Hasi kwa hasi ni chanya, ukitaka kuwasaidia watie hasi zaidi, waambie mwakani itaadhimishiwa Chato kabisa
 
Tulipatia Uhuru mwanza au uwanja wa ccm
Au nyerere alihutubia umma uwanja ambao ulitangaxwa Uhuru.
Too shame
 
Mwanza imependelewa Kwa lipi , au kanda ya ziwa imependelewa Kwa yapi, naona unachoongea ni myth story ambazo hazina uhalisia

Polepole,
Acha majibu rahisi kwa maswali magumu please! Hapa hujajibu hoja hapa. Hoja ni why Mwanza after 58 years of Tanganyika independence?
Kilicho dhahiri hapa ni Umagufulization.
Kwamba kwa Utawala huu wa Magufuli yeye ndiye anaye DICTATE kila jambo! Magufuli ndiye engineer wa mipango hii ya hovyo! Watz wangelielewa kama sherehe hizi za 9 Desemba, 2019 zingelifanya DODOMA Makao Makuu but not Mwanza!
 
Ili athibitishe yeye ana PhD 2 za kemikali na sasa ni mkemia aliye bobea ataFanya yafuatayo akiwa kwenye sherehe hiyo
(1) anabadilisha jina la sherehe hiyo ya Uhuru na kuanzia sasa anazindua jina jipya la sherehe za 09/12/ zitaitwa sherehe za KUWAPARUA MABEBEBERU WOTE WA NDANI NA NJE.
(2) atazindua hesabu ya kujumlisha miaka 58 ya Uhuru na 57 ya kuwa jamhuri ambayi watawala waliopita hawakufanya kitu na tutaanza kuhesabu sherehe ya miaka 115 YA KUWAPARUA MABEBERU WA NDANI N NA NJE
 
Polepole,
Acha majibu rahisi kwa maswali magumu please! Hapa hujajibu hoja hapa. Hoja ni why Mwanza after 58 years of Tanganyika independence?
Kilicho dhahiri hapa ni Umagufulization.
Kwamba kwa Utawala huu wa Magufuli yeye ndiye anaye DICTATE kila jambo! Magufuli ndiye engineer wa mipango hii ya hovyo! Watz wangelielewa kama sherehe hizi za 9 Desemba, 2019 zingelifanya DODOMA Makao Makuu but not Mwanza!

Muache aamue, yeye ni Rais wa nchi, ana mamlaka nayo, ukitaka kuamua unavyotaka wewe subiri uwe Rais. Mradi hakufhakufanya kinyume cha katiba na sheria ya nchi muache a dictate. Huwezi kufanya hivyo kama hujashinda urais
 
Ila tukiacha yote awamu hii kuna maruweruwe mengi sana
 
Back
Top Bottom