Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,768
- 49,949
Nadhani anaongelea wateule. Mwondoe Makamu wa Rais, Speaker, siyo wateule.Makamu wa Raisi, katibu mkuu kiongozi, wazir mkuu, Gavana BOT, Spika wa Bunge , hzo ndo ngazi za juu ni yupi anatokea kanda ya ziwa?
Orodhesha mawaziri na manaibu wote, wakurugenzi wa idara na makatibu wakuu, utapata jibu.