Ni kwanini sasa miaka 58 ya Uhuru wa Tanganyika iadhimishiwe jijini Mwanza?

Hii hoja hapana, nadhani mleta mada kama kuna kitu tofauti tuambie, vinginevyo acha ifanyike popote hii ni sherehe kama zingine.
Huyu ni Mchaga ambaye anataka kutuaminisha kuwa mawazo yake ya kichaga ndio bora.
 
Tatizo tunasahau kuwa Wana Mwanza ni miongoni mwa chimbuko la kudai Uhuru na miaka mingi hawakuwahi kumuona Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama katika hafla kubwa za namba ile.
Kwa kuwa hafla hizi zitafanyika kikanda hayumkini zitadumisha Uhuru,umoja na mshikamano wa Taifa.
Na ni wahanga wa vita ya Kagera. Mpaka leo hatujasahau miungurumo ya midege ya vita.
 
Nimegundua kuna kikundi humu cha watu nadhani wengi ni wa kaskazini,wana wivu sana na kanda ya ziwa.

Kimsingi kanda hii yenye utajiri mwingi kwa miaka yote imekuwa ikijibeba yenyewe hadi kufikia hapo ilipo.Tofauti sana na majiji kama Dar ambapo Sera za serikali zililszimisha mapato mengi ya serikali yabaki Dar.Nakumbuka hata TRA wakikusanya kodi ya migodi ya dhahabu,walichukua kutoka makao makuu ya ofisi ambazo ilzilikuwa Dar,na hivyo kuonekana kodi hiyo imetoka moja ya wilaya ya Dar.

Huko kaskazini ilikuwepo mikakati mizito sana ya siri,kuinua watu wao kupitia fursa zinazopatikana serikalini.Kati ya watu walioipendelea maeneo yao,huwezi kuwashinda wachaga.
Wamekuwa wakijisifu kuwa na lami hadi vijijini wakati hata bara bara kuu ya Mwanza Dar haijawa na lami.Nakumbuka watu toka mza kwenda dar wakipitia Nairobi.
Huku mikoani kulikuwa na mameneja wachaga wa benki mbali mbali,wakitoa mikopo bila usumbufu kabisa kwa wachaga.Wengine wakidhaminiwa tu na wenzao kitu ambacho kwa mtuwingine ulikuwa vigumu hata kama una collateral.

Taasisi kama TRA walikuwepo wengi sana,Bank,wahasibu wilaya zenye pesa unakuta wapo wachaga hata watano ofisi moja.
Nimekuwa Chuo,naona wazi wazi wachaga wasio na uwezo darasani wakibebwa na kuonekana vinara wa darasa.Nilifikia mahali nikaamini huenda hii kubebana ndiyo akili.Kwani mbinu hii inavyofanywa kwa umoja,inawainua sana walengwa.

Ifike mahali ninyi watu wa kaskazini,mridhike na upendeleo mliokwisha kupata.
 
Huku kukiwa na lundo la tuhuma kuwa utawala wa awamu ya tano umegubikwa na ubaguzi wa kikanda hatimaye Rais John Pombe Magufuli atakuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya miaka 58 ya uhuru wa Tanganyika. Sherehe hizo kwa mara ya kwanza zinafanyika nje ya makao makuu ya nchi ukiachilia mbali serikali ilipohamia Dodoma.

Swali la msingi ni kwanini sherehe hizo ziende jijini Mwaanza eneo ambalo limetawaliwa na kabila atokalo Rais Magufuli? Ni hoja gani hasa iliyotumika kuzipeleka jijini humo?

Ni jambo la ajabu kuona serikali ikikumbatia waziwazi upendeleo wa ukanda! Haya yanayofanywa yanatupa sisi ari ya kujiridhisha kuwa tumetawaliwa na upendeleo wa waziwazi wa kikabila awamu hii ya uongozi.

Kwa maana hiyo sasa jeshi, viongozi wote wa juu pamoja na wageni wanapelekwa Mwanza ili kuhudhuria sherehe za uhuru.

Siwezi kusema mengine yaliyotokea huko nyuma katika utawala huu yakionyesha mwenendo mbaya wa kikabila ila kiukweli jambo hili halileti picha nzuri hata kidogo.

Hii ni Tanzania imejengwa ila kiobomoa ni kazi rahisi sana.
What kind of this Rubbish??
Kwani Mwanza Ni jiji la Burundi?

Kama ndo yanafanyika kwa Mara ya kwanza Kuna upendeleo gani hapo, you unajua maana ya kupendelea?

Mbona yanga walihamisha Mechi Yao ya kitaifa kutoka dar kwenda Mwanza Kuna kitu kiliharibika?

Unaleta hoja za ukabila hapa Unataka kutambika?

Bila shaka wewe utakuwa unatoka kwenye lile kabila la kumushangilia mwenyekiti wa CDM kurejesha fomu ya kuendeleza Uongozi wa kidikiteta ndani Chama.

Badilikeni mkuu mbona watu kutoka Kanda ya kusini Tumetulia na tunaona Ni sawa tu kwasabab pote Ni Tanzania wewe na wenzio Mnawashwa Nini?
 
Huku kukiwa na lundo la tuhuma kuwa utawala wa awamu ya tano umegubikwa na ubaguzi wa kikanda hatimaye Rais John Pombe Magufuli atakuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya miaka 58 ya uhuru wa Tanganyika. Sherehe hizo kwa mara ya kwanza zinafanyika nje ya makao makuu ya nchi ukiachilia mbali serikali ilipohamia Dodoma.

Swali la msingi ni kwanini sherehe hizo ziende jijini Mwaanza eneo ambalo limetawaliwa na kabila atokalo Rais Magufuli? Ni hoja gani hasa iliyotumika kuzipeleka jijini humo?

Ni jambo la ajabu kuona serikali ikikumbatia waziwazi upendeleo wa ukanda! Haya yanayofanywa yanatupa sisi ari ya kujiridhisha kuwa tumetawaliwa na upendeleo wa waziwazi wa kikabila awamu hii ya uongozi.

Kwa maana hiyo sasa jeshi, viongozi wote wa juu pamoja na wageni wanapelekwa Mwanza ili kuhudhuria sherehe za uhuru.

Siwezi kusema mengine yaliyotokea huko nyuma katika utawala huu yakionyesha mwenendo mbaya wa kikabila ila kiukweli jambo hili halileti picha nzuri hata kidogo.

Hii ni Tanzania imejengwa ila kiobomoa ni kazi rahisi sana.

Ili mwakani tukiyapeleka maadhimisho Chato msilalamike, happy now?
 
Ndio taifa hili lilivyo sasa hivi! Linajitengeneza kuweza kuondoa uwezo wa kuhoji.
Sherehe za Uhuru ndio kubwa kuliko zote kitaifa na huwezi kupeleka kokote nje ya mji mkuu wa nchi bila sababu za msingi. Sio kwa maamuzi ya kukurupuka ya MTU mmoja.
Kujiondolea uwezo wa kuhoji sio jambo la sifa kwani ni sawa na kuondoa kiungo cha mwili hivyo ni upumbavu kushangilia.
 
Nadhani hakuna tatizo Rais na kamati za maadhamisho wakiamua kupeleka sherehe hizi mkoa wowote.

Hizo sababu kubwa za msingi kufanyia makao makuu tu ni zipi hasa..
 
Mwanza imependelewa Kwa lipi , au kanda ya ziwa imependelewa Kwa yapi, naona unachoongea ni myth story ambazo hazina uhalisia
Kama huoni au kujua basi umeokotwa jalalani.
Yaani huoni nchi kwa sasa viongozi wote wa juu ikiwa ni pamoja na taasisi za uma wanatoka kanda hiyo?
Huoni kuwa kila jambo la kimaendeleo priority ni kanda ziwa?.
Iko siku itafika.
 
Huku kukiwa na lundo la tuhuma kuwa utawala wa awamu ya tano umegubikwa na ubaguzi wa kikanda hatimaye Rais John Pombe Magufuli atakuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya miaka 58 ya uhuru wa Tanganyika. Sherehe hizo kwa mara ya kwanza zinafanyika nje ya makao makuu ya nchi ukiachilia mbali serikali ilipohamia Dodoma.

Swali la msingi ni kwanini sherehe hizo ziende jijini Mwaanza eneo ambalo limetawaliwa na kabila atokalo Rais Magufuli? Ni hoja gani hasa iliyotumika kuzipeleka jijini humo?

Ni jambo la ajabu kuona serikali ikikumbatia waziwazi upendeleo wa ukanda! Haya yanayofanywa yanatupa sisi ari ya kujiridhisha kuwa tumetawaliwa na upendeleo wa waziwazi wa kikabila awamu hii ya uongozi.

Kwa maana hiyo sasa jeshi, viongozi wote wa juu pamoja na wageni wanapelekwa Mwanza ili kuhudhuria sherehe za uhuru.

Siwezi kusema mengine yaliyotokea huko nyuma katika utawala huu yakionyesha mwenendo mbaya wa kikabila ila kiukweli jambo hili halileti picha nzuri hata kidogo.

Hii ni Tanzania imejengwa ila kiobomoa ni kazi rahisi sana.
Kwani imeandikwa wapi daima ni d'slam tu ndipo pakufanyia kumbukizi ya Uhuru?
Je, Mwanza si sehemu ya Tanzania?
Ni kweli ukabila tu ndo unahisi ni tatizo kwako? (Hoja mfu). Kuna lingine linalokusibu kuhusu maadhimisho kuanyikia Mwanza?
 
sasa sikila siku munatwambia kama Tanganyika haipo mbona sasa munasherehekea
 
ni mkakati wa kuzipigia debe dreamliners kwa mabalozi wa nje. wala it’s not about uhuru.
 
Ngoja tumkumbushe mleta mada.
Mwaka 1979 mwalimu aliyapokea majeshi yetu yaliyotoka vitani Uganda katika vita ya kumuondoa nduli Idi Amini aliyekuwa ameivamia sehemu ya nchi yetu huko Kagera katika mji wa Mwanza.
Shughuli hii Ilikuwa ya kitaifa lakini haikufanyika makao makuu ya nchi kama mleta mada anavyotaka kutuaminisha.
Kwahiyo unataka kulinganisha nini kwa mfano? Yan wewe hata ukitaka lia ila tukio analofanya Magufuli ni ukabila mtupu!
 
Kwani imeandikwa wapi daima ni d'slam tu ndipo pakufanyia kumbukizi ya Uhuru?
Je, Mwanza si sehemu ya Tanzania?
Ni kweli ukabila tu ndo unahisi ni tatizo kwako? (Hoja mfu). Kuna lingine linalokusibu kuhusu maadhimisho kuanyikia Mwanza?
Ni ukabila. Na kwa bahati mbaya sana hajaanza leo hivyo sina shaka yoyote kuwa amevutiwa na ukabila.
 
Kama huoni au kujua basi umeokotwa jalalani.
Yaani huoni nchi kwa sasa viongozi wote wa juu ikiwa ni pamoja na taasisi za uma wanatoka kanda hiyo?
Huoni kuwa kila jambo la kimaendeleo priority ni kanda ziwa?.
Iko siku itafika.
Makamu wa Raisi, katibu mkuu kiongozi, wazir mkuu, Gavana BOT, Spika wa Bunge , hzo ndo ngazi za juu ni yupi anatokea kanda ya ziwa?
 
Kama hujanyimwa chakula kwenu basi umekosa walau 500 ya kununulia mihogo siku ipite.
Huku kukiwa na lundo la tuhuma kuwa utawala wa awamu ya tano umegubikwa na ubaguzi wa kikanda hatimaye Rais John Pombe Magufuli atakuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya miaka 58 ya uhuru wa Tanganyika. Sherehe hizo kwa mara ya kwanza zinafanyika nje ya makao makuu ya nchi ukiachilia mbali serikali ilipohamia Dodoma.

Swali la msingi ni kwanini sherehe hizo ziende jijini Mwaanza eneo ambalo limetawaliwa na kabila atokalo Rais Magufuli? Ni hoja gani hasa iliyotumika kuzipeleka jijini humo?

Ni jambo la ajabu kuona serikali ikikumbatia waziwazi upendeleo wa ukanda! Haya yanayofanywa yanatupa sisi ari ya kujiridhisha kuwa tumetawaliwa na upendeleo wa waziwazi wa kikabila awamu hii ya uongozi.

Kwa maana hiyo sasa jeshi, viongozi wote wa juu pamoja na wageni wanapelekwa Mwanza ili kuhudhuria sherehe za uhuru.

Siwezi kusema mengine yaliyotokea huko nyuma katika utawala huu yakionyesha mwenendo mbaya wa kikabila ila kiukweli jambo hili halileti picha nzuri hata kidogo.

Hii ni Tanzania imejengwa ila kiobomoa ni kazi rahisi sana.
 
Kwahiyo mzunguko uanze 2019 tens nyumbani kwa Rais..Haya bwana! Ninachojua ni kuwa ameenda kubembeleza kura za wasukuma kama kawaida yake maana sherehe zijazo tutakuwa tumemaliza uchaguzi mkuu.
Mwanza ni nyumbani kwa Magufuli?
 
Back
Top Bottom