Marwa_J_Merengo
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 4,510
- 6,893
Mbona mimi sioni tatizo maana Mwanza sio mji wa Wasukuma peke yao humu sasa hivi kuna makabila ya kila mkoa wa Tz kama huamini waulize waha
Achen porojo! Mwanza nisehemu ya Tanganyika mnasema hivo kwasababu ametokea kanda ya ziwa zaidi ya hapo hamnahoja yoyoteHamuwezi kuelewa ila mwenyekiti wenu ni mtu anayetukuza ukanda kwenye mambo ya kitaifa.
Huku kukiwa na lundo la tuhuma kuwa utawala wa awamu ya tano umegubikwa na ubaguzi wa kikanda hatimaye Rais John Pombe Magufuli atakuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya miaka 58 ya uhuru wa Tanganyika. Sherehe hizo kwa mara ya kwanza zinafanyika nje ya makao makuu ya nchi ukiachilia mbali serikali ilipohamia Dodoma.
Swali la msingi ni kwanini sherehe hizo ziende jijini Mwaanza eneo ambalo limetawaliwa na kabila atokalo Rais Magufuli? Ni hoja gani hasa iliyotumika kuzipeleka jijini humo?
Ni jambo la ajabu kuona serikali ikikumbatia waziwazi upendeleo wa ukanda! Haya yanayofanywa yanatupa sisi ari ya kujiridhisha kuwa tumetawaliwa na upendeleo wa waziwazi wa kikabila awamu hii ya uongozi.
Kwa maana hiyo sasa jeshi, viongozi wote wa juu pamoja na wageni wanapelekwa Mwanza ili kuhudhuria sherehe za uhuru.
Siwezi kusema mengine yaliyotokea huko nyuma katika utawala huu yakionyesha mwenendo mbaya wa kikabila ila kiukweli jambo hili halileti picha nzuri hata kidogo.
Hii ni Tanzania imejengwa ila kiobomoa ni kazi rahisi sana.

Mkuu, wanabisha jambo ambalo wanajua wazi kuwa Rais anafanya hivi kama kupeleka fadhila kwa wasukuma kama ambavyo amekuwa akifanya. Wanataka kupindisha ukweli kwa hoja zao za kijinga kabisa!Wenye Maono makali na yaliyobarikiwa na Mwenyezi Mungu nikiwemo GENTAMYCINE ni Siku Tatu sasa zimepita nilianzisha Uzi hapa hapa JamiiForums Kuzungumzia hili na Kuelezea wasiwasi wangu mkubwa juu ya Sherehe hizi Kufanyika Mkoani Mwanza na Mheshimiwa Kukubali kuwa Mgeni rasmi tofauti na miaka mingine ambapo alikuwa akiihairisha kwa kile alichokiita Kubana Matumizi ila wapo ambao kwa ' Upopoma ' Wao tu hawakunielewa, lakini bila Shaka baada ya Wewe nawe kuja na huu Uzi basi wenye Akili wataongezeka na watatuelewa pia. Kuna tatizo mahala na ' Usukumaism ' sasa ' Umetamalaki ' nchini Tanzania na katika Sekta mbalimbali na hasa hasa Makao Makuu Upanga na Makao Makuu Oysterbay.
Mkuu G Sam, unamsaidia huyo unayesema anaibomoa Tanzania kwa bandiko lako hili; huenda bila ya kukusudia kufanya hivyo.Huku kukiwa na lundo la tuhuma kuwa utawala wa awamu ya tano umegubikwa na ubaguzi wa kikanda hatimaye Rais John Pombe Magufuli atakuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya miaka 58 ya uhuru wa Tanganyika. Sherehe hizo kwa mara ya kwanza zinafanyika nje ya makao makuu ya nchi ukiachilia mbali serikali ilipohamia Dodoma.
Swali la msingi ni kwanini sherehe hizo ziende jijini Mwaanza eneo ambalo limetawaliwa na kabila atokalo Rais Magufuli? Ni hoja gani hasa iliyotumika kuzipeleka jijini humo?
Ni jambo la ajabu kuona serikali ikikumbatia waziwazi upendeleo wa ukanda! Haya yanayofanywa yanatupa sisi ari ya kujiridhisha kuwa tumetawaliwa na upendeleo wa waziwazi wa kikabila awamu hii ya uongozi.
Kwa maana hiyo sasa jeshi, viongozi wote wa juu pamoja na wageni wanapelekwa Mwanza ili kuhudhuria sherehe za uhuru.
Siwezi kusema mengine yaliyotokea huko nyuma katika utawala huu yakionyesha mwenendo mbaya wa kikabila ila kiukweli jambo hili halileti picha nzuri hata kidogo.
Hii ni Tanzania imejengwa ila kiobomoa ni kazi rahisi sana.
Ukiona wengine hawaleti leta wewe!Hakuna hoja hapa na tafadhali leteni mada zenye mashiko na manufaa kwa nchi ili tujadili na kueleweshana.
Halafu anatuambia kuwa anakwepa gharama.Sijui wasukuma walimpa nini? Nakumbuka aliposema walimpa kura nyingi hivyo wasibomolewe ila huko kwingine tunaambiwa ukisogelea road reserve umejipelekea umasikini.Nimekuelewa Sana mtoa uzi nami niliposikia kwamba sherehe za Uhuru zitafanyika mwanza kwenye uwanja wa CCM kirumba nikajua tayari Jiwe kaendeleza ukanda na ukabila wake,leo Nyerere road yote nyeupee peee Machinga wote wameondolewa
Imekuwa ni tabia ya Nchi ya Tanzania kuendesha sherehe za kitaifa kwa kuzunguka toka mkoa au kanda fulani kwenda nyingine, na ndio ilisaidia ujenzi wa viwanja vya mpira mikoa mingi kama uwanja wa majimaji, wa singida, nk, hivyo hata hizi kufanyika Mza ni sawa tu na ndio inatakiwa kuwa in rotate, au wewe hilo halikupendeziiiiiii.Huku kukiwa na lundo la tuhuma kuwa utawala wa awamu ya tano umegubikwa na ubaguzi wa kikanda hatimaye Rais John Pombe Magufuli atakuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya miaka 58 ya uhuru wa Tanganyika. Sherehe hizo kwa mara ya kwanza zinafanyika nje ya makao makuu ya nchi ukiachilia mbali serikali ilipohamia Dodoma.
Swali la msingi ni kwanini sherehe hizo ziende jijini Mwaanza eneo ambalo limetawaliwa na kabila atokalo Rais Magufuli? Ni hoja gani hasa iliyotumika kuzipeleka jijini humo?
Ni jambo la ajabu kuona serikali ikikumbatia waziwazi upendeleo wa ukanda! Haya yanayofanywa yanatupa sisi ari ya kujiridhisha kuwa tumetawaliwa na upendeleo wa waziwazi wa kikabila awamu hii ya uongozi.
Kwa maana hiyo sasa jeshi, viongozi wote wa juu pamoja na wageni wanapelekwa Mwanza ili kuhudhuria sherehe za uhuru.
Siwezi kusema mengine yaliyotokea huko nyuma katika utawala huu yakionyesha mwenendo mbaya wa kikabila ila kiukweli jambo hili halileti picha nzuri hata kidogo.
Hii ni Tanzania imejengwa ila kiobomoa ni kazi rahisi sana.
Kwahiyo mzunguko uanze 2019 tens nyumbani kwa Rais..Haya bwana! Ninachojua ni kuwa ameenda kubembeleza kura za wasukuma kama kawaida yake maana sherehe zijazo tutakuwa tumemaliza uchaguzi mkuu.Imekuwa ni tabia ya Nchi ya Tanzania kuendesha sherehe za kitaifa kwa kuzunguka toka mkoa au kanda fulani kwenda nyingine, na ndio ilisaidia ujenzi wa viwanja vya mpira mikoa mingi kama uwanja wa majimaji, wa singida, nk, hivyo hata hizi kufanyika Mza ni sawa tu na ndio inatakiwa kuwa in rotate, au wewe hilo halikupendeziiiiiii.
Wewe ndiwe huna akili ndiyo maana huelewi chimbuko ya linalojadiliwa
Wahenga husema kuna 'mtu kuamkia upande mbaya'.Ni jambo la ajabu kuona serikali ikikumbatia waziwazi upendeleo wa ukanda! Haya yanayofanywa yanatupa sisi ari ya kujiridhisha kuwa tumetawaliwa na upendeleo wa waziwazi wa kikabila awamu hii ya uongozi.
Kwa maana hiyo sasa jeshi, viongozi wote wa juu pamoja na wageni wanapelekwa Mwanza ili kuhudhuria sherehe za uhuru.
Siwezi kusema mengine yaliyotokea huko nyuma katika utawala huu yakionyesha mwenendo mbaya wa kikabila ila kiukweli jambo hili halileti picha nzuri hata kidogo.
Hii ni Tanzania imejengwa ila kiobomoa ni kazi rahisi sana
Sina shida na watu wa kabila lile mkuu. Mbona hata wapinzani wakienda kule wanapokewa vizuri tu? Nina shida na huyo aliyepeleka sherehe huko! In fact anafanya wasukuma wenzake waanze kufikiriwa tofauti ingawa najua wapo wasiopendezwa na haya. Nakupa mfano wachaga, wahaya, wanyakyusa na wasukuma Nyerere aliwahi kutuonya kuwa wametawaliwa na ubinafsi. Sasa hatukuwahi kumpata Rais kwenye makabila hayo hapo kabla ila sasa tumempata Magufuli na ameenda mulemule alikoonya Nyerere. Hii inajenga taswira kwamba tumeshakanyaga nyoka sasa siku tukiona jani tushtuke! Kusema kweli hapo kabla sikutegemea kuona haya ninayoyaona. Mpaka huwa najiuliza hivi kuna watu huwa hawaoni aibu?Wahenga husema kuna 'mtu kuamkia upande mbaya'.
G Sam ninayemfahamu kwa michango yake humu JF, leo ni tofauti na G Sam mwenye mada hii.
Kama ni kulaumu, elekeza lawama hizo kwa huyo aliyeamua kupeleka sherehe hizo huko kwao. Hii itaeleweka, na inaeleweka kabisa kwa tabia anazoonyesha. Hata huko kuzungumza kilugha tu kwenye mikutano hiyo ni kero tosha.
Sasa G Sam, kuhusisha watu wote wa 'ukanda' kana kwamba ndio waliochukua madaraka ya kuhamisha sherehe hizi, kweli inakuwa ni sawa?
Mimi siamini kamwe kwamba Tanzania hii itabomolewa na mtu mmoja. Sikubali kabisa mawazo hayo. Ila ninachkiamini ni kwamba hilo litawezekana endapo kama tutakuwa na watu kama G Sam huyu mpya, atakayesaidia kutia kichocheo cha kuibomoa Tanzania.