Mtoa post Ni miemko tu ya kisiasa inayokusumbua na kutakakupandikiza chuki miongoni mwa watanzania na serikali. Mwaka huu hauwezi kuwa mwisho wa maazimisho ya miaka 58 ya uhuru.Je umejiuliza swali mwakani itafanyika wap
Mwanza imependelewa Kwa lipi , au kanda ya ziwa imependelewa Kwa yapi, naona unachoongea ni myth story ambazo hazina uhalisia
2015 zilifutwa, ila fedha ambazo zingegharimu sherehe hiyo, zilipelekwa Mwanza.2016, Ilifanyika Dar, 2017, Dodoma, 2018, ilifutwa, 2019 Mwanza, hapo Ukanda Uko wapi mkuu??
Polepole,
Acha majibu rahisi kwa maswali magumu please! Hapa hujajibu hoja hapa. Hoja ni why Mwanza after 58 years of Tanganyika independence?
Kilicho dhahiri hapa ni Umagufulization.
Kwamba kwa Utawala huu wa Magufuli yeye ndiye anaye DICTATE kila jambo! Magufuli ndiye engineer wa mipango hii ya hovyo! Watz wangelielewa kama sherehe hizi za 9 Desemba, 2019 zingelifanya DODOMA Makao Makuu but not Mwanza!