CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Rumours is carried by haters Spreaded by fools and accepted by idiots !Kuna kitu sikielewi huyu mtu aliwakosea nini waliopo Serikalini ?
Mfano ,kitabu cha in the name of president cha kabendera kuna WALIOSHUHUDIA na WALIOONA, NILISIKIA na ndio ushahidi tuende nao ?
Toka ameondoka ni mapya kila siku lakini hakuna yoyote anainua mdomo kukemea , shida nini ?
Huyu mtu atarudi ?
Habari zinazovutia ni za Nyerere na Magufuli tu !Ipo siku na kifo cha Benjamin William Mkapa kitaandikiwa kitabu!
Despite all that. He did show us how a country should be run and his ideas were ways to progress and development.Huyo alikuwa mwehu na mpumbavu, ndiyo maana yeye mwenyewe alijiita kichaa na mvuta bangi
HakikaRumours is carried by haters Spreaded by fools and accepted by idiots !
Saying of the wise !
Watu wa makinikia kazini 🤣🤣😂 !
HACHAFUKI NG’OO !
Wanyonge wakisha kukubali umemaliza mchezo !
Kwa sababu wao ndio wengi kwenye Nchi yeyote iliyopo hapa Duniani !
Hata wamchafue vipi JPM atarudi kwa sura nyingine na kwa kuwa kwa sasa wote waovu wamejianika hadharani watakiona cha mtema kuni akiwemo....huyoKuna kitu sikielewi huyu mtu aliwakosea nini waliopo Serikalini ?
Mfano ,kitabu cha in the name of president cha kabendera kuna WALIOSHUHUDIA na WALIOONA, NILISIKIA na ndio ushahidi tuende nao ?
Toka ameondoka ni mapya kila siku lakini hakuna yoyote anainua mdomo kukemea , shida nini ?
Huyu mtu atarudi ?
Hata wamchafue vipi JPM atarudi kwa sura nyingine na kwa kuwa kwa sasa wote waovu wamejianika hadharani watakiona cha mtema kuni akiwemo....huyo