Ni kwanini Serikali imeshindwa kumlinda Hayati Magufuli, kuna nini nyuma ya kuchafuka kwake ?

Ni kwanini Serikali imeshindwa kumlinda Hayati Magufuli, kuna nini nyuma ya kuchafuka kwake ?

Hachafuliwi bali ukweli unawekwa wazi,hakika mtu yule alikuwa mwovu sana.
 
Kuna kitu sikielewi huyu mtu aliwakosea nini waliopo Serikalini ?

Mfano ,kitabu cha in the name of president cha kabendera kuna WALIOSHUHUDIA na WALIOONA, NILISIKIA na ndio ushahidi tuende nao ?

Toka ameondoka ni mapya kila siku lakini hakuna yoyote anainua mdomo kukemea , shida nini ?

Huyu mtu atarudi ?
Rumours is carried by haters Spreaded by fools and accepted by idiots !
Saying of the wise !
Watu wa makinikia kazini 🤣🤣😂 !
HACHAFUKI NG’OO !
Wanyonge wakisha kukubali umemaliza mchezo !
Kwa sababu wao ndio wengi kwenye Nchi yeyote iliyopo hapa Duniani !
 
  • Thanks
Reactions: rr4
Huyo alikuwa mwehu na mpumbavu, ndiyo maana yeye mwenyewe alijiita kichaa na mvuta bangi
Despite all that. He did show us how a country should be run and his ideas were ways to progress and development.
 
Wamlinde kivipi yaani?, mfano hicho kitabu kimechapishwa huko majuu na watu wananunua kupitia mitandao kama Amazon nk. Na wako watu tayari washaanza kusoma tayari, yapo ya kuyazuia lakini si mfano wa hili na mengine yote yanayofanana na hili. Mambo yako very shambolic Hadi inakuwa ngumu kuzuia vitu kama hivi. The dead are gone, only living matter.
 
Rumours is carried by haters Spreaded by fools and accepted by idiots !
Saying of the wise !
Watu wa makinikia kazini 🤣🤣😂 !
HACHAFUKI NG’OO !
Wanyonge wakisha kukubali umemaliza mchezo !
Kwa sababu wao ndio wengi kwenye Nchi yeyote iliyopo hapa Duniani !
Hakika
 
Kuna kitu sikielewi huyu mtu aliwakosea nini waliopo Serikalini ?

Mfano ,kitabu cha in the name of president cha kabendera kuna WALIOSHUHUDIA na WALIOONA, NILISIKIA na ndio ushahidi tuende nao ?

Toka ameondoka ni mapya kila siku lakini hakuna yoyote anainua mdomo kukemea , shida nini ?

Huyu mtu atarudi ?
Hata wamchafue vipi JPM atarudi kwa sura nyingine na kwa kuwa kwa sasa wote waovu wamejianika hadharani watakiona cha mtema kuni akiwemo....huyo
 
Back
Top Bottom