Ni kwanini Serikali imeshindwa kumlinda Hayati Magufuli, kuna nini nyuma ya kuchafuka kwake ?

Ni kwanini Serikali imeshindwa kumlinda Hayati Magufuli, kuna nini nyuma ya kuchafuka kwake ?

Bila Kumchafua mwaka huu patakuwa pagumu sana Kujieleza Kwenye Majukwaa ya Kisiasa mana Chuma bado anaishi kwenye Mioyo ya Watanzania ivo Ku ruin reputation yake ni jambo jema ili kuwapa watawala Platform, Kwa Muda alio ishi JPM na Iniatiave alizofanya wewe hushangai hata kwanini Vitu alivyo anzisha vikubwa vinakuwa Commissioned na husikii popote anatajwa au hutajwa kwa uchache wakati yeye ndio alikuwa champion haswa haswa miradi Mikubwa ya Construction hakuna Archives wala library kueleza mazuri yake wala husikii hata Social media accounts zake zikiendeshwa kutuonesha mazuri yake
Hata hili la Kabendera halijaja by Chance
Unatetea ujinga tu, hakuna mtu mwenye akili timamu anayeweza kumtetea huyo chiz, mpaka mwenyewe alijiita kichaa.
 
Hakuna Haja
Wao wanapambana na Jina la Marehemu na Bado Wanaangukia pua!!
Hata Ikitokea Makosa kwenye Uchaguzi mkuu likawekwa jina La Magufuli nakuambia Wataangukia Pua jina la Marehemu linaweza Pigiwa Kura kuliko Hawa Walio hai
Labda apigiwe kura na watu dizain yako, lakini hakuna mtu timamu anayeweza kumpigia kura kichaa
 
Hapa a serikali kuna namna inafanya kazi. Unakumbuka wale waliokuwa wanadhihaki hapa JF waliishia wapi??? Jiulize, usikomenti ujinga, Dkt Magufuli ni taasisi ya urais!
Kinachowasumba watu kama nyie ni umasikini. Jiulize kama kuna mtu yeyote ambaye anajitambua na fajiri amewahi kumsifia huyu mtu wako.
 
Mungu atamlinda daima. Hata Mimi naona kimya chao kina walakini. Najua Magufuli ndiye anawanyima usingizi kwasababu utendaji wao unapimwa kwa magufuli. Hivyo wanaona wananchi wakimtaja kwa kumkumbuka wao inawauma mno
Hao wananchi unaowasema ni watu dizain yako,
 
Not the goverment job either, you either had a good run or not. Legacy saves itself, no need of defending

Eg. look at nyerere, his legacy speaks for itself
Mkuu, are you trying to say that, during Mwalimu's tenure, there was no any case of extrajudicial killings, let alone, some dictatorial elements??..

Or, is it because Magufuli's terms in office came to coincidence with technological breakthroughs like the invention of smartphones and wider internet coverage that had significant impact on enhancing his Political opponents to thoroughly scrutinize his deeds and actions while in office compared to his predecessors??..

NB: I'm not a native English speaker..

CC: Retired Missile of the Nation
 
Unyama gani? Udhalimu gani?

Kuwatoa watu ambao ni vyeti feki udhalimu?

Kuwachukulia hatua watu ambao walikuwa wanakula ela za wafanyakazi hewa nayo ni dhambi?

Watu wote ambao walikuwa wanamchukia magufuli walikuwa wanafanya vitu ambavyo havikuwa na uhalali

Wewe kama ulikuwa unapata salary yako vizuri unafanya kazi yako vizuri ubaya wa magufuli uko wapi?
Ila jiwe alikua na wafuasi wengi ila wajinga, wafuasi wake walikuw watu kama wewe
 
Mimi nina ndugu yangu wa damu yupo jengo jeupe na ni wale wazee wa Kazi

So kuna mambo machafu Sana wanafanya Sana hawa jamaa zetu .

Huwa nasikitika Sana nikimuona MTU anataka Kazi za wazee wa Kazi hata kutoa hongo.

Kaka yangu naishi nae hapa ni sleepless Ana majuto makubwa Sana

Ameshajaribu kutaka kuacha hii Kazi .

Ka-FLAG mambo anayoongea yanagusa Sana ukweli
 
Wacha serikali ipambane na Magufuli, mwisho tutaona nani mshindi.
In away inatafutwa njia ya kuipromote ACT Wazalendo. Ruyagwa hakuachia madaraka yake kwa Bahati mbaya!!!
Inajulikana CDM wote walikuwa critics na Ruya pia kwa Hayati Magufuli!

Wala wasihangaike kihivyo, wananchi wengi wameishaelewa kinachoendelea. Hivi hawaoni kuwa wananchi wengi wamepunguza kulalamika? Siyo kwamba hawaoni wanaona sana. Wanasubiri muda muafaka wapalilie uzalendo wao!
 
Kuna kitu sikielewi huyu mtu aliwakosea nini waliopo Serikalini ?

Mfano ,kitabu cha in the name of president cha kabendera kuna WALIOSHUHUDIA na WALIOONA, NILISIKIA na ndio ushahidi tuende nao ?

Toka ameondoka ni mapya kila siku lakini hakuna yoyote anainua mdomo kukemea , shida nini ?

Huyu mtu atarudi ?
Ni kwa sababu serikali ina-promoti uhuru wa habari, hasa habari ambazo ni za uhakika.
 
Mkuu, are you trying to say that, during Mwalimu's tenure, there was no any case of extrajudicial killings, let alone, some dictatorial elements??..

Or, it's because Magufuli's terms in office came to coincidence with technological breakthroughs like the invention of smartphones and wider internet coverage that had significant impact on enhancing his Political opponents to thoroughly scrutinize his deeds and actions while in office compared to his predecessors??..

NB: I'm not a native speaker..
Didnt say mwalimu leadership was completely clean, there was misconduct here and there but mwalimu himself was not that aggresive or erratic towards some people who wronged him (he dealt with some, but not publicaly or to the exent of trying to take their life)
And he had sense of softness inside

I dont recall magu being able to balance his leadershid, he was good katika utekelezaji, but not good in politics, especialy how he dealt with opposition, that was not neccessary, using too much power opposition was the real enemmies
 
Yes. You're absolutely right. We're on the same page and some have always been saying that, Magufuli is a good Mtendaji but not a good politician.

Mkuu, kwa hizi nchi zetu za third world ambazo bado zinajitafuta, tunahitaji Rais ambaye kidogo amepitia foreign office, some kind of a diplomat mtu kama Mzee Salim Ahmed Salim au Mzee Augustine Mahiga who can fit in with European and American counterparts, mtu mwenye exposure ya Ulaya Ulaya.

Sio mtu anatoka tu Wizara ya Ujenzi (Nondo, Cement, Kokoto, Nyundo) kisha anakuja kuwa Rais.

Hell Noo..
 
Kuna kitu sikielewi huyu mtu aliwakosea nini waliopo Serikalini ?

Mfano ,kitabu cha in the name of president cha kabendera kuna WALIOSHUHUDIA na WALIOONA, NILISIKIA na ndio ushahidi tuende nao ?

Toka ameondoka ni mapya kila siku lakini hakuna yoyote anainua mdomo kukemea , shida nini ?

Huyu mtu atarudi ?
Kila mtu ataubeba mzigo wake mwenyewe.
 
Yes. You're absolutely right. We're on the same page and some have always been saying that, Magufuli is a good Mtendaji but not a good politician.

Mkuu, kwa hizi nchi zetu za third world ambazo bado zinajitafuta, tunahitaji Rais ambaye kidogo amepitia foreign office, some kind of a diplomat mtu kama Mzee Salim Ahmed Salim au Mzee Augustine Mahiga who can fit in with European and American counterparts, mtu mwenye exposure ya Ulaya Ulaya.

Sio mtu anatoka tu Wizara ya Ujenzi (Nondo, Cement, Kokoto, Nyundo) kisha anakuja kuwa Rais.

Hell Noo..
for the record nchi hii, rais anaetok foreign office huwa ana balance mambo. Lakin pia nimegundua mamlaka kama zimelegea kwenye vetting, walikuwa wako makini zana 70s to late 90s, after that ni as if hakuna tena such thing.
Is how we end up kupata viongozi wa voda fasta
 
Back
Top Bottom